Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Mimi king'amuzi changu watoto walikuwa wanachezea rimoti wakaweka password, sasa kuna channel zimekata kila nikitaka kuzisearch inasema niingize password namimi siijui.

Hivyo naomba jinsi ya kuondoa hii password ili niweze kusearch hizo chanels
 
Natumia kinga'amuzi cha antenna,naombeni ufafanuzi kuhusiana na ofa za sikukuu mnazozitoa. Kwa mfano nikilipia bundle ya Nyota nitafaidika na bundle ipi?
 
Mimi king'amuzi changu watoto walikuwa wanachezea rimoti wakaweka password, sasa kuna channel zimekata kila nikitaka kuzisearch inasema niingize password namimi siijui. Hivyo naomba jinsi ya kuondoa hii password ili niweze kusearch hizo chanels
Bonyeza zero mara 6 then ok
 
Kwanini hamtoi taarifa pindi mnapobadili gharama za vifurushi vyenu!? Matokeo yake tukijiunga kwa gharama ya vifurishi vya awali mnatulipisha kwa wiki.
Huu ni utapeli😠.

Hapa dawa ni kuendelea na free local chanmels tu. Silipii tena...
 
Hivi star times mmekuwaje yaani nanunua kifurushi kidogo Cha 19000 lakini channel chache tu zinaonekana zingine hazionekani hili suala linaniudhoa Sana natamani hata kuachana na huduma zenu namba ya kadi ya king'amuzi changu ni 01837621581
 
Hivi star times mmekuwaje yaani nanunua kifurushi kidogo Cha 19000 lakini channel chache tu zinaonekana zingine hazionekani hili suala linaniudhoa Sana natamani hata kuachana na huduma zenu namba ya kadi ya king'amuzi changu ni 01837621581
Huku mbeya baadhi ya channels zenu hazina Signal
 
Tuambie na gharama za mwezi baada ya muda wa offer!
 
King'amuzi changu kina tatizo la kuzima na kukata signal mara kwa mara hata nikifanya automatic search. Pia scratching hasa nyakati za mchana. Nimefuata maelekezo yote ya huduma kwa wateja bila mafanikio
Nipo Bagamoyo
No. Ya card 22124464268
Simu: 0754371053
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…