toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,627
Naona wachina wao wanapandisha tu kila mwaka!Jamaa hawa ni watu wa ajabu sijapata kuona!
Wakati wenzao wakifikiria kushusha vifurushi wao wanapandisha juu kila siku!
Nimeona ujumbe wao kama ifuatavyo:
Ndugu mteja kuanzia tar 21/09 bei ya Kufurushi cha Nyota itabadilika na kuwa TSH 10000tu kwa Mwezi.Wahi kulipia kabla ya tar 21/09 ufurahie bei ya zamani
Kifurushi kidogo kutoka 4000 mwaka juzi hadi mwaka huu 10000 jamaa wanapandisha kwa fujo sana
Kwa wale wa dish kitakua ni elfu 12 kwa mwezi
Na kifurushi kikubwa kwa antenna kitapanda hadi elfu 40
Na kwa dish kitapanda hadi elfu 50