Startimes jitafakarini kuhusu vifurushi vyenu mnapoteza wateja

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Hawa Startimes wajifunze kuhusu vifurushi

Vifurushi ni expensive kuliko hata Zuku au Azam lakini channels ni za hovyo

Vifurushi vyao vipo juu sana na haviendani na bei

Mfano kifurushi cha Dish cha elfu 20 au antenna elfu 15 haviendani kabisa na bei channels chache na za ajabu sana halafu bei kubwa shusheni vifurushi muache tamaa hasa wakati ambao local ni bure haki ya mama hakuna atakayelipia sijui meneja mauzo wenu ni nani?


Yaani azam package ni 8000 tena ina full channels za kutosha kwa dish nyie package kama hiyo mnauza 11500 halafu channels chache na za ajabu ajabu

Mtu unalipa 11500 halafu Bbc hupati, Aljazeera hupati, fox hupati, CNN hupati unapewa CGTN TU 🤣🤣hawa wachina ni noma?

BADILIKENI NA MSHUSHE VIFURUSHI
 
Hawa jamaa bhana business plan yao sijui ikoje mimi nilinunua tv kwao iko built in with decoder sasa kioo kimezingua na hawana huduma ya repair wanataka ninwapelekee halafu nilipe asilimia 60 wanipe mpya tv yenyewe nilinunua laki sita kidogo wakati flat ndio zinasoko halafu bei yaani hiyo asilimia wanataka ya kipindi kile sio kwenye soko la sasa bei ni cheap sana wao wanakomaa tu
 
  • Thanks
Reactions: rr3
Mimi nilidhani kuwa sitaa taimuzi ndio bora kwa sasa kwa kuwa wana europa la liga kumbe bure tu. Bora nibaki azamu tivwii
 
Back
Top Bottom