Stars vs Moroco in JF

Mbona Ngassa sikuhizi anaanzia bench? Kiwango kimeshuka au nini?
Tehteh Mkuu siku nyingi naona sijakuona ila Taifa lako huliangushi lazima uwepo hata mie nimeshangaa Mchezaji wako kawekwa Bench kutakuwa na sababu ambayo mie siijui.
 
Kwa hii mechi, kwa hii timu, kwa huyu kocha, kwa hamasa iliyopo, kwa wachezaji waliopo na kwa tff hii sioni mbele....
Yangu macho
 
Tehteh Mkuu siku nyingi naona sijakuona ila Taifa lako huliangushi lazima uwepo hata mie nimeshangaa Mchezaji wako kawekwa Bench kutakuwa na sababu ambayo mie siijui.
Oooh! Pazi!!! Kumbe ni wewe, nilikuwa naandika nikiwa usingizini, sikujua kama ni wewe. Nafurahi kukuona pia, asante na wewe kwa kuwa mzalendo.
 
Utata mwingine ni condition ya algeria naye kutakiwa kushinda na sisi tushinde. Ni zaidi ya ngamia kupita ktk tundu la sindano na timu yetu tunaijua ni pasua kichwa.
Umakini bado tatizo, mtusamehe kuweka hisia zetu hata uzalendo unataka tupeane moyo.
 
Magazeti ya kesho Bongo kwenye kurasa za michezo: Stars yafanya maajabu, yaipiga Morocco 5-0, waarabu awaamini.. Gazeti jingine: Staaaaz... raha tupu!!! Gazeti jingine: Stars Yatinga fainali za afrika kimazingaombwe. Jingine :Stars yavunja mwiko.
 
Duh mkuu pamoja na kwamba mimi ni mzalendo lakini hii ni ngumu sana...,
Hawa jamaa kuwafunga zote hizo ni kazi hususan nadhani watapaki basi na kufanya counter attacks ukizingatia stars wanatakiwa wafunge (Huenda wakafunguka na kuacha defense vulnerable)
 
Najua ni kazi, nilikuwa najipa moyo. Ujue upaswi kufa kabla ujafa. Ili mradi una nafasi fulani ni bora kuwa na matumaini, yakitokea sawa yasipotokea inshalaah!
 
Back
Top Bottom