Stars vs Moroco in JF

Wamorocco wamejaaa, ila wanaonekana wana wasiwasi. Sasa kama wanao sie kwanini atujiamini?
 
Hivi huu uwanja wao mnauonaje? Naona kama tumeupiga bao. Wetu mzuri, au macho yangu mimi!
 
nina imani leo tunashinda,hakuna lisilowezekana

LOL! nice to be so positive but the chances of us winning are slim to none.

Tanzanians always want results but are not prepared to put in the hard work to get those results. There are no shortcuts to being great. Instead of concentrating on youth development we are still doing the same nonsense we have been doing for years yet we expect different results.
 
Hii Sasa Hatari kwetu naona Beki anatuliza Mpira vile? kama anapiga shuti? kwenye inbox?
 
mbona wametuzidia hivi kama muda wowote wanaweza kutufunga, mhmm wanacheza na mioyo ya watu hawa
 
vipi tbc hawaonyeshi tunaomba muendelee kutupatia live text thanks.

Hawakuonyesha Kuzama kwa MV spice kwa muda muafaka ambayo ilikuwa hapo tu, itakuwa huko! Kichef chef hiko usirudie tena kuuliza!
Wasubiri uchaguzi wa Mbeya na Arumeru Mashariki!
 
Back
Top Bottom