gango2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2011
- 1,941
- 2,251
pole sana, ingekuwa hivyo ingekuwa bomba eeeh!!!
G.umenipandisha pressure na title yako ya kizushi.
G.umenipandisha pressure na title yako ya kizushi.
Acha kuiga title za magazeti ya udaku! Andika title inayoendana na habari!
Ni maendeleo,ya Dar yalikuwaje? si 1-0 au?1998: Raja Casablanca 6 Yanga 0
2011 (August) Wydad Casablanca 3 Simba 0
2011 (October)- Morocco 3 Taifa Stars 1
Mpira wetu unaendelea kukua?
Ni kweli.hao kina Mrwanda ushuzi mtupu...
Bora hata wanangu wa Abajalo wanaweza kufa na tai shingoni ili mradi heshima ya Abuja izidi kudumu.
title na contents ni kama mafuta na maji..havihusiani
Kwa mujibu wa Title yako ni kwamba unajiuliza, unashangaa au unatuuliza??!!!
unachosema ni kweli mkuu,kwani wachezaji ambao wanacheza ligi za nje hudhani wa ka wao ndo kila kitu kumbe huko husgua benchi msimu mzima wakija hapa tunadhani ni wazuri kisa wapo nje,kumbe hamna kitu