Stars/Msumbiji Live update!

Stars/Msumbiji Live update!

Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! Mwinyi Kazimoto.
 
Duh! Mwinyi kafunga goli hadi kapiga ishara ya msalaba!
 
Hii timu bure kabisa hawa hata wakicheza na Twiga Stars wanalambishwa tu..
 
mwinyi kazi moto kafunga goli safi sana dakika ya 42. pasi imetoka kwa vicent barnabas. john boko hayumo mchezoni.
TZ 1 - 1 MOZ.
 
hivi kaseja kavaa jezi za nchi gani? kaptura alovaa siielewi au makipa hawavai jezi za taifa?
 
Yanga wanabahati, huyu mwamzi wa mezani ndo atachezesha mchezo wao misiri dhidi ya zamalek. so kazi kwao kuongea nae.
 
Nipo hapa naangalia kupitia start tv! Sijapenda the way tom chilala anavyotangangaza design kama anawataja xana the mambaz uwanjani.
 
Aki ya nani wewe umeniboa, vibaya. Mi sikufichi kama ungekuwa rafiki yangu mi na wewe urafiki mwisho,Nyie ndiyo mliopoteza utu wa nchi ye2, watu kama nyie ndio mafisadi wa kifkra, nipo radhi wanifungie jf a/c yangu kwa ajili ya maneno yangu kwako, kiukweli umeniboa xana.
bwahahahaha arifu punguza munkari......sasa nipe matokeo.....bwahahahaha....
 
Back
Top Bottom