PLOII
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,098
- 802
Kwenye Mada moja kwa moja,
Tukubali kuwa kilichotokea leo ni matumizi ya Brain, tukubali tukutae matumizi ya Brain kwa wachezaji wetu ni KIDOGO sana mfano Coach unamtoa Kagoma anaingia SAADUNI (hana anachoweza) badala yake katikati panapwaya ~ Morocco wanasogea kirahisi bila pressure.
Clement Mzize ni mzuri kama Taifa Stars inacheza na Timu ambayo haina matumizi sahihi ya Brain all the time anatumia energy kuliko skills hana tofauti na KIBU kwa scenerio hii anaingia mtu ambaye pia matumizi ya akili yapo chini "SAADUNI"
Kiukweli Coach wetu hana viwango vya kimataifa hana tofauti na Fadlu wa Simba
Tumeumaliza Mwendo bye bye Brain matters.
NB: Nawapongeza Mashabiki wote kwa kujitokeza kwa wingi huo ndio UZALENDO.