Akishaweka itakua laini? Ha haha vijana wa Lumumba bwanaWeka mafuta ya starring
Kama gari yako inatumia power steering, kuna mambo mawili ambayo huenda mojawapo linaleta shida hiyo.Wanajamvi nini kinasababisha starring ya gari inakuwa ngumu unapokuwa unadrive hususani ktk kupiga kona?
Angalau wewe umeonyesha mwelekeoAngalia hydrauric oil,pia starring rack kama ni nzima,tazama na upepo katika matairi yako.
Ushajua ni gari gani kama Landrover 109.Power starring imekufa nenda kafanye matengenezo
Wewe aujuwi magari sio lazima Kila gari liwe na mkebe wa hydroulic fuel.... Mleta mada ingekuwa vizuri ukasema na aina YA gariiiiWeka mafuta ya starring
Steering wheel kuwa ngumu inasababishwa na ukosefu/kuisha kwa kilainishi chake. " automatic hydraulic oil inayowekwa kwy gearbox kama kilainishi.
/QUOTE]
Mkuu umechanganya madesa gear box ahiusiki kabisa na mambo YA sterling
..... Kuna kitu kinaitwa pressure pump YA sterling ihii inakuwa na belt IPO conected na engen na kitu kingine konaitwa sterling box ihii IPO mbele usawa wa Chuma YA sterling inapotekea kwa dreva ndani yake kuna seal zikipasuka uwa zinamwaga mafuta na sterling itakuwa ngumu na ukikata Kona Kali Sana utasikia ikilalamika...... Nivyema jamaaa akawaona mafundi walio karibu nae
Wewe uzi mzima kazi yako kukosoa tu, ushauri wako uko wapi?Angalau wewe umeonyesha mwelekeo
Ushajua ni gari gani kama Landrover 109.
Wewe aujuwi magari sio lazima Kila gari liwe na mkebe wa hydroulic fuel.... Mleta mada ingekuwa vizuri ukasema na aina YA gariiii
Mkuu uko vizuri inaoneshaKama gari yako inatumia power steering, kuna mambo mawili ambayo huenda mojawapo linaleta shida hiyo.
- Power Steering controller imechoka (hapa utahitaji kubadili nyingine). Hii huzungushwa na belt kule kwenye injini
- Mafuta ya hydraulic ya power steering yamekwisha.
Mkuu uko vizuri inaonesha
safi sana
Ni experience mkuu. Nimekutana na hii kadhia several times kwenye magari tofauti tofauti. Nimejaribu kuwamegea wenzangu kidogo nilicho nacho.
KhaaaaaItakuwa ccm mkuu,kama una marafiki wa chama hicho achana nao