Kwanini usukani wa gari unakuwa mgumu kukata kona?

Badilisha power steering imekufa
Hivi kale kamlio flani kakukera gari ikiwa haijapata moto huwa kanasababishwa na hio power steering au ni kitu gani? Kuna kimlio cha kishenzi kinatokea chini huko kinakera fundi aliniambia ATF steering fluid itakuwa chafu ila kabadili still kapo gari ikitembea baada ya muda kanapotea
 
Yeah ni power steering inaanza kufa nadhani, na sometimes hydraulic ikiwa imepungua pia
 
Hivi kale kamlio flani kakukera gari ikiwa haijapata moto huwa kanasababishwa na hio power steering au ni kitu gani? Kuna kimlio cha kishenzi kinatokea chini huko kinakera fundi aliniambia ATF steering fluid itakuwa chafu ila kabadili still kapo gari ikitembea baada ya muda kanapotea
Kamlio kama miluzi, vile ni vimpira flani vinazunguka kama ile mikanda ya mashine ya kusaga vinauzwa afusita vikiisha ndio zake kabadilishe
 
Kuwa makini na wanaokuambia power sterling. Juzi kati nilimpelekea fundi gari baada ya kuendesha gari nyingine ambayo sterling yake ilikua laini mno. Fundi kaniambia nunua power sterling zama Ilala nikanunua lakini mambo ni yale yake. Sijajua shida ni hawa mafundi wetu uchwara ama ni nini
 
Hakina mafundi Maiko si wa kuwaamini. Mara nyingi wanawaingiza gharama ambazo haziendani na tatizo la kwenye gari kwa wamiliki wa magari.
 
Kuwa makini na wanaokuambia power sterling. Juzi kati nilimpelekea fundi gari baada ya kuendesha gari nyingine ambayo sterling yake ilikua laini mno. Fundi kaniambia nunua power sterling zama Ilala nikanunua lakini mambo ni yale yake. Sijajua shida ni hawa mafundi wetu uchwara ama ni nini
Kuna mkanda ukifa stering inakua ngumu sijajua unaitwaje kuna siku stering ilikua ngumu tukabadili ikarud normal...
 
Kuwa makini na wanaokuambia power sterling. Juzi kati nilimpelekea fundi gari baada ya kuendesha gari nyingine ambayo sterling yake ilikua laini mno. Fundi kaniambia nunua power sterling zama Ilala nikanunua lakini mambo ni yale yake. Sijajua shida ni hawa mafundi wetu uchwara ama ni nini
Ahaa mafundi wa ramli balaa, mi gari iliwaka abs baada ya kubadilisha brake pads, nikaishi nayo kwa muda mpaka nilivyokua fit nikampelekea fundi a deal nayo. fundi akaniambia ni sensor zimekufa, mzee baba nikanunua kufunga hola, akaniambia bearing zimeisha ndio mana abs inawaka nikabadili miguu yote bearing taa bado, akaniambia mtungi wa abs nikatoka nduki :D :D :D sikurudi.
 
Nina gari aina ya Nadia, shida kubwa ni kua sterling poweryake ni mgumu sana pale ninapokata Kona, Nmejaribu kuweka fluid, nmenunua Hadi Rek hamna mabadiliko, Shida ni nini? Kwa anahejua naomba MSAADA.
Labda hydrolic imevuja yote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom