Starlet Starlet Starlet

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
6,565
8,427
Natafuta gari Starlet iliyo simama vizuri kama kuna mwenye nayo humu ndani anaweza nichek,pesa yangu kwa gari hiyo nayohitaji haizidi Milion 4.

PM namba yako iwapo unayo tuongee biashara.

Madalali siwafurahii sana kwa sababu ya ujanja ujanja mwingi.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Mtafute 0652472486
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom