Star wa muziki kutoka Nigeria Davido anunua gari la kifahari

Habari ndugu zangu

Star wa muziki kutoka Nigeria Davido anunua gari la ndoto zake aina ya lamborghini na kuwa miongoni mwa mastaa wachache kutoka Afrika wanaomiliki magari ya kifahari.

Kupitia ukurasa wake wa instagram amepost video fupi ikionesha mapokezi ya gari hilo na kupitia video hiyo amesikika akisema I waited for so long. Kweli mziki unalipa asee
huo mjengo anaolala duuh
mziki unalipa kwa wenzetu sio bongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom