Star wa muziki kutoka Nigeria Davido anunua gari la kifahari

Ufipa watapinga wataenda kwa wakili wao wamshitaki kijana Davido kwa kujali maendeleo ya vitu sio watu

Ngoja tusubiri barua ya vitisho
Africa is fighting independence for the second time everywhere. This indigenous colonialists like maccm represent the worst form of colonialism, because they can camouflage as if they have the best interest of people.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwache afurahie mafanikio yake,hata asingekuwa mwanamziki bado angekuwa anadrive mandinga kama hayo,kwani baba yake mzazi net worth yake ni zaidi ya USD mil 700.Kwa kifupi jamaa amezaliwa kazikuta hela na yeye anazidi kutengeneza hela zake binafsi.
Sio 700mil $ ni 1.7B
$ mkuu sasaivi badilisha hapo juu
 
Badala ajenge nyumba ananunua gari. Ovyo kabisa. Iyo gari ikipinduka?
Jinga lingine hili hapa 🤣🤣🤣 daah bongo land kuna ma fucked wengi sana eti nyumba we unajua ana nyumba ngapi huko USA na niger unakuja ku comment 💩💩💩💩💩 hapa 🤣🤣🤣 aaaah seee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom