star TV

Nimefurahi sana kupata fursa hii. Bajeti ya mwaka huu ni bure kabisa. Naweza kuiita futuhi.
 
teh teh, bt hyo post ni ya kitambo ati Comi
 
Last edited by a moderator:
mimi nawapenda startv. Mgeni wao kasema serikali ya Tanzania ni legelege. bajeti ikataliwe ili ikasukwe tena na Bunge liahilishwe hadi baada ya miezi 3. Mia
 
jaman kuuliza co ujinga, hv ni kipindi gani kinaendelea startv mbna km celewi elewi?

Charmy, kila J'2 kuna Uzi maalumu ambao upo mda mrefu, ambapo nadhani ulianzishwa kwa mashirikiano baina ya Invisible na Yahya M. (Mtangazaji wa StarTV)
uzi huo upo jukwaa la Siasa ambapo yeye Yahya M. ni member wa Jf na anakaribisha members wengine kushare topics itakayokua kipindini.
That's why umemsikia akitaja sana Jf, na pia anachukua comments toka fcbk.
Au sicho hicho ulichotoka kujua?
 
Judgement uko deep mkuu....mzima weye
 
Judgement uko deep mkuu....mzima weye

Cute mtu wangu niko mzima, naangalia mpira muda huu Spain & Croatia, time ndo inatubana kiasi cha kukosa time ya kuvinjari humu kwa kujinafas, hichi kipindi cha Bunge la budget muda mwingi tunatumika kuweka sawa transactions za wakubwa hapa Dom.
Nipe mpya kama zipo.
 

thnx Judgement
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…