Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,873
Kuna channel kama msnbc mnatangaza zipo halafu mnaziondoa kimya kimya
why?
Mkuu hiyo mbona naipata au wameiondoa baadhi ya sehemu? Kwangu ipo kama kawaida
Kuna channel kama msnbc mnatangaza zipo halafu mnaziondoa kimya kimya
why?
Mkuu hiyo mbona naipata au wameiondoa baadhi ya sehemu? Kwangu ipo kama kawaida
hii lugha ya 'walaji' ina ukakasi sana. hivi kuna mtu anakula matangazo ya tv? acheni lugha za fadhaa kama hizi. hakuna 'mlaji wa matangazo'.
Manyerere Jackton, wewe neno mlaji kwako limebeba tafsiri ya kula nini?hii lugha ya 'walaji' ina ukakasi sana. hivi kuna mtu anakula matangazo ya tv? acheni lugha za fadhaa kama hizi. hakuna 'mlaji wa matangazo'.
muwepo kila mara,kujibu hoja zitakazo wahusu
Tunashukuru kwa kuirudisha big up sana,kuna tetesi kwamba uwa mnazima mtambo yenu ya makongo au ya kisarawe ndio maana signal zinakuwa weak hamuiwash yote kwa pamoja ndio maana kuna siku inatulia then baada ya siku 2 inaanza tena skrach kuna ukweli wa hz tetesi?
Sasa mkuu, mbona imekua kwa Dar tuu? Sisi wa mikoani tumewakosea nn?
majanga....decoda ninunue mie, salio niweke mie, channel ukate weweee....majanga....ona majangahabari yako Jonta ni kweli startv haijarudi mikoa yote,ila imerudi mikoa kadhaa, Katika makubaliano ni kwamba startv itaendelea kupatikana mikoa ile tu ambayo awali ilikuwa inapatikana kwa kupitia analog signals
Kuna channel kama msnbc mnatangaza zipo halafu mnaziondoa kimya kimya
why?
Ok, Ila kuna mambo mengi sana munatakiwa muyarekebishe. Picha zinakatikakatika, TBC1&2 zinasumbua sana. Mimi huku Tabata napata angalau ITV,EATV, CLOUDS. Tangu iwashwe mitambo ya Makongo, sisi watu wa jiran na mitambo ya Kisarawe shida tupu. TBC ni mdau wa Startimes lakini cha ajab muda mwingi utaambiwa No Services, Not subscribed tena wakat umelipa na au No Signal. Namba za kisimbuzi 02035418564