Star TV yarudi Star Times baada ya Maridhiano

Star TV yarudi Star Times baada ya Maridhiano

Tatizo la StarTV walichelewa kuingia Mjini wakawakuta wenzao STARTIMES washatinga. wakataka kutumia Gia ya kuuzia ving'amuzi vyao ndio maana wakaondoa Channel yao Startimes na Easy TV. Ni ulimbukeni. TCRA wamewaweza kwa kuwaamuru warudihse Majeshi haraka.
 
Atakuwa anatumia madish huyo sijui wanayaita kwa futi, STAR TV ipo hewani walisharudi
 
Star tv nao wamefanya kama walivyofanya TBC kupunguza signal maana wengine wanapata wengine hatupati matangazo yao.
 
Back
Top Bottom