Star TV yageuka tume

babylata

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
3,609
2,402
Inachekesha kuona chombo kikubwa kama star TV wakidanganya na kutoa taarifa ya uongo kuuthibitishia umma kupitia lenatus mkinga kwamba CCM imepita majimbo sita kata 30 huku wakijua majimbo hayo yamekatiwa rufaa je star TV wamethibitishiwa tume kuhusu majimbo hayo
 
ihi tv niya mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza. Sasa hapa unategemea nini?

Pili mwenye tv ihi ameteuliwa kuwa mmoja wapo wa timu ya kampeni ya magufuli sasa hapo unategemea nini?
 
Najuta kupoteza muda wangu Leo, star tv hamjifunzi???
Wachambuzi mnaowaleta wawe objective Sio wapiga kampeni, wale walokuwa Dar kichefuchefu kabisa, angalau aliekuwa mwanza!!!!
Ndo mana wengi wanaiweka tv yenu kundi moja na Tbc, mbadilikage bana
 
Mnatupoteza watazamaji wenu star tv hebu hiyo kazi ya uenezi acheni ifanywe na magazeti yetu ya Uhuru na mzalendo
 
Back
Top Bottom