jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,533
Star Tv au niseme sahara media ni watu wa kupongezwa sana katika ubunifu kwenye tasnia ya habari.
Kumbukumbu zangu zinanionesha kuwa chombo hiki cha habari ndio chombo cha kwanza Tanzania kutuletea uchambuzi wa Magazeti kupitia radio ...kitu ambacho kilikuja kuigwa na media nyingine.
Leo hii Star Tv imejoongeza kulinganisha na media nyingine kwa kuja na mahojiano magumu na yenye ukakasi(contraversy) wa kutosha.
sasa ni vyema tukawapongeza kwa ubunifu na kuwaencourage waendelee hivyohivyo...
Nimefurahia yule mtangazaji kwa jina la Nyanda kwa kupeleka maswali makavu makavu kwa Makonda huku akiwa anekusanya ushahidi wa maswali mbalimbali aliyotaka kuyahoji.
changamoto za kuzidiwa ujanja na Makonda zilikuwepo lakini kwa wenye kumbukumbu hata BBC wakiwahi kuzidiwa ujanja walipomuhoji Benjamini Mkapa.
Keep it up Star Tv na sahara media.