je wajua na samadu hassan,naipenda sana,haswa kiswahili chake mujarab..sijui kwanini hajaenda bbc,dw nk
bbc au dw hakuendeki kirahisi hivyo kwa hao uliiwasema ila wanatusaidia bunge na bbc swahili saa 3 usiku zaidi ya hapo angalia tanzania bila ccm inawezekana tbc ili uchefuke zaid the best tv bongo inayosema ukweli kama vile tbc ya tido mhando nadhan ndio unayo angalia