Jana wakati naangalia BBC swahili likatokea tangazo ........fountain college. Huyo msomaji ndiyo amevuruga kwa kusoma ....fontesheni.... Mbaya zaidi neno limerudiwa kama mara kumi hivi.
BBC Dira ya Dunia tu.... Kuanzia saa 3 hadi 3:30 uckuSijawahi kuona kipindi kizuri kwny hii station, ht taarifa yao ya habari ni km ile ya tbc,
Sasa hivi wamejaza 'Je Wajua?' Ipo kila wakati........ kabla ya kipindi chochote lazima walete Je wajua?. Inachosha sana.Sijawahi kuona kipindi kizuri kwny hii station, ht taarifa yao ya habari ni km ile ya tbc,
Sasa hivi wamejaza 'Je Wajua?' Ipo kila wakati........ kabla ya kipindi chochote lazima walete Je wajua?. Inachosha sana.
Halafu yule dada ambaye huwa anasoma taarifa ya habari namaanisha IVONA KAMUNTU, anajisikia sana kama vile StarTv ni yake...!!
Halafu yule dada ambaye huwa anasoma taarifa ya habari namaanisha IVONA KAMUNTU, anajisikia sana kama vile StarTv ni yake...!!
Hata mimi nilishangaa kwa nini haijafanyika editing ila siachi kuingalia star tv naipenda Be carefull with my....
...dah..yan kidogo nitapike...iv hiz media zetu hazina wataalam wa editib bfr tangazo halijarushwa....?...ni aibu mmmno..na ukizingatia tunaoangalia BBC n weng mmno