Ndugu wanajamvi, naomba mnisaidie kama kuna mtu yeyote anayejua kwa nini Star TV mtandaoni imekuwa haina sauti. Kwa muda mrefu ilikuwa haipatikani kabisa. Sasa inapatikana ila sauti haisikiki kabisa. Hii ndio TV pekee tunayoitegemea watanzania tulio ughaibuni angalau kupata taarifa za habari na nyingine za nyumbani. Kama kuna mtu anayejua kuna tatizo gani au anajua cha kufanya ili upate sauti naomba anijuze