Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,383
- 7,977
Kuna hichi kipindi cha star tv kinaitwa kibarazani kinakuwepo kila siku mida ya saa 9 mchana nikizuri na mada zake ni nzuri kunakuwa na wachambuzi ila tatizo ni mda uliwekwa ni mbaya nimekuwa nafatilia siku chache napopata mda ingekuwa vizuri mngekiweka mida ya saa 1 usiku kila siku kabla ya taarifa ya habari japo kuna kipindi cha yule jamaa wa kipindi cha kipaza sauti huyu nae kipindi chake kingekuwa kinarushwa siku moja kwa wiki mana naona kinamtesa sana kuzunguka kila siku mitaani