Star TV: Mada ya Sura mbili za TLS naona watangazaji pamoja na Murro wanaungana kuiponda TLS

Mtamtetea sana Lissu lakini tunaojitambua tulishasema Lissu siyo makini katika mambo ya professional ndiyo maana kwenye hili la mgomo wa mawakili amefeli 100% na hakuna mtu makini atapinga hili otherwise zingine ni blabla tu!
Wewe unajitambua? Kuilamba ccm ndiyo kujitambua?amakweli wajinga ndio waliwao
 
MBA Masters ya Murro. Je uwezo wake kiakili huyo jamaa unaendana na elimu hiyo ??? Je hiyo masters ni feki ama halali ??? Anaongozwa na mihemko ama logic ??? Je anatafuta uhalali baada ya kujipendekeza kueneza ufisiem kule Moshi ??? Je ana machungu ya kukosa Ubunge upande anaoupinga ??? Je lini amajua utaalamu wa wanasheria na mawakili ???

Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo yupo tu kilaza fulani yaani anambwerambwera
 
Mtamtetea sana Lissu lakini tunaojitambua tulishasema Lissu siyo makini katika mambo ya professional ndiyo maana kwenye hili la mgomo wa mawakili amefeli 100% na hakuna mtu makini atapinga hili otherwise zingine ni blabla tu!

Sihitaji kumtetea Lissu kwani kazi ya kujitetea anaimudu vizuri yeye mwenyewe. Na isitoshe Lisu kama walivyo binadamu wengine anamapungufu yake na hilo haliwezi kumfanya asiwe na makosa. Ninachosema ni Jerry Muro kwenda studio na kutaka kugeuza ni sehemu ya kumchafua Lissu ili kupata political mileage. Na kilichotokea studio alipata mtu sahihi ya kumuweka kwenye mstari na kwa hili alimpatia sana Muro.
 
Kwani jerry muro ana kosa gn kuitwa star tv?!! Hv msimamo wa lissu ndio msimamo wa TLS??!! lissu ametangaza mgoma.je mawakili mbona hawajagoma??!!

Nalo ni kosa la Jerry Muro?!! Imevamiwa ofisi ya imma advocate, hakuna wakili alievamiwa akitimiza majukumu yake, Lissu asichanganye siasa ma taaluma. Uwakili ni taaluma na usomi. Siasa ni kujua kusoma na kuandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyinyi watu kwann mnakuwa na iq ndogo ,kwann mnadiscuss watu badala ya hoja. Jaribu kufikiri ingekuw nyumba yako imepigwa bomu ungejisikiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jerry Muro katumwa hapo as a missionary to accomplish the mission. Try to read him from his body and you will notice this. Kumjua mtu anayejadili mambo aliyolishwa unamsoma mwili wake kwani mwili haujui kuficha ukweli bali una tabia ya kuuanika ukweli.

Kwanini aamue kuiuza heshima yake kwa njaa ya siku moja au mbili? Ni kwasababu yeye ni mtafuta fursa za kupiga na huenda ni timu polepole!

Ajenge hoja zake kama yeye na sio kujengewa na waliomtuma. Poor him na njaa zake na ameshindwa kabisa ndio maana anazungumzia mambo ya boss wake wa yanga kukutwa na sare za jeshi ilihali kesi ipo mahakamani ambapo kama ana ushahidi ilibidi akautolee huko na sio kwenye media.

Kitendo hiki kitaifanya mahakama isitende haki kwani yaweza kuwa biased na kutoa hukumu kwa kufuata mkumbo wa Jerry! Huenda hajitambui na ama ana ugomvi na Manji.
Huyu jamaa ni mropokaji kichwan empty mind kwa maana kila sehemu jamaa wanampinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MBA Masters ya Murro. Je uwezo wake kiakili huyo jamaa unaendana na elimu hiyo ??? Je hiyo masters ni feki ama halali ??? Anaongozwa na mihemko ama logic ??? Je anatafuta uhalali baada ya kujipendekeza kueneza ufisiem kule Moshi ??? Je ana machungu ya kukosa Ubunge upande anaoupinga ??? Je lini amajua utaalamu wa wanasheria na mawakili ???

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri ni wakati wa serikali iangalie elimu mfumo wake, kwa mtindo huu wa akina Murro kweli elimu yetu ipo icu kama mwenye master mawazo yake hayana tofauti na mwanafunzi darasa la sita. Duuu mungu ibariki tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilichoniudhi kwenye mjadala huo ni kitendo cha mtangazaji wa Star Tv MacDonald kumkatishakatisha Patrobas wakati anaongea lakini akiongea Murro na yeye anatulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA Siku zote wanapenda habari ambayo itawapaisha kisiasa, Mfano Mahakama ikiamua kwa upande wao inatenda haki ikiamue upande mwingine wanasema wanaonewa
Sijawa mwanachama wa chama chochote cha siasa lkn ile nimeiangalia na kusikiliza lkn kwa ujumla sijawahi kuiona ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom