Star tv haipo hewanii!!!.

String Theorist

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
203
250
Habari wana JF.
Wiki inaisha sasa hapa mbeya STAR TV kupitia satellite dish (hasa haya ya futi 6)haishiki kabisa. TATIZO LINAWEZA LIKAWA NINI?. naomba mwenye data na majibu atumwagie hapa. NATANGULIZA SHUKRANI.
 
rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,895
2,000
Habari wana JF.
Wiki inaisha sasa hapa mbeya STAR TV kupitia satellite dish (hasa haya ya futi 6)haishiki kabisa. TATIZO LINAWEZA LIKAWA NINI?. naomba mwenye data na majibu atumwagie hapa. NATANGULIZA SHUKRANI.

hata sisi hatupati star tv na radi free even channel 10 na itv,,sisi hapa tunapata tbc na radio zao pekee,,labda wenye satilite zao wamewapiga ban
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom