hamna kuchakachua! bei yake ni Tsh. 132,000/=. naona kwa bei hiyo ya 120,000/= naona wamefanya punguzo! tatizo la ZUKU wana local chanels tatu tu - TBC, Chanel Ten na Clouds. wanadai wataongeza local chanels zingine, sasa sijui hadi lini!
Ishakuwa kimeo, ITV hakuna?
Leo nimena ZUKU WAMEBADILISHA MWELEKEO WA MADISHI YAO NAKUWEKA MWELEKEO KAMA WA DSTV
KWASABU GANI WAMEFANYA IVYO?
Sio mwelekeo wa dstv wamehamia satellite ya SES5 ambako ilipo DW na nyingine nyingi free sababu ya kugeuza dish kutoka NSS12 kwenda SES5 ni zilipokuwa awali uwezo wa satellite ulikuwa mdogo na walipoongeza chaneli satellite haikuwa na uwezo hivyo ndio maana wamehamia magharibi na chaneli wameongeza.
ITV hakuna. nilipoongea na wahusika wakasema wako kwenye mchakato wa kuongeza chanels za ndani including hiyo ITV. labda uwaulize upate uhakika!