Stanley enow ft diamond my way remix ni noma

Stanley enow ft diamond my way remix ni noma

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
17,032
Reaction score
23,699
Huu ni wimbo upo kwenye album ya Stanley enow track number 13 ambayo amemshirikisha kijana kutoka Tanzania na msanii mwingine anaitwa Ariel sheney.stanley enow ni msanii mkubwa kutoka nchini Cameroon pamoja na Ariel sheney.

Vitu nilivyopenda kwenye wimbo Huu

1.ujumbe
Huu wimbo unahusu kumcourage mtu ambaye anatafuta maisha.

2.melody
Melody ya Hawa watatu ni amaizing kimefanya ngoma iwe kali.

3.ubunifu wa diamond
Diamond ametumia lugha tatu tofauti kiswahili,kiingereza na kifaransa kaimba alafu karap kidogo kwa kifaransa.Diamond ameua sana

4.mziki wenyewe
Ni ngoma inayoishi na haichoshi Ina sound tofauti beat yake ni ya kusikiliza zaidi than kuchezeka.wasanii wote wa
 
Audio nimejaribu kuweka imekataa so mwenye kuweza anaweza kuweka.
 
innocent dependent,
Mzee imebidi nikautafute huu wimbo,frankly speaking ngoma kali,gud enough nimependa diamond hajatia zile vionjo zake haters wanazosema ana "matusi"😂😂😂
 
Ilo pini sio la nchi hii,na asitokee tena mtu wakumshindanisha DIAMOND, SIMBA,DANGOTE,ELECTRICITY,CHIBU,EVARA,MNYAMA,SUKARI YA WAREMBO NA KIKARAGOSI YOYOTE HAPA TANZANIA SAWA.
Sawa mkuu
 
Ooh bariki...tandalee na wanaonipiganiaa..waweze walio goma waweze kuweza...kuwezq...oya aaayee man following me follow follow..aaaayee baraka follow me follow follow .to the shuu..ogo to on....................
 
Maisha sio halakaaaaaaaaaa hahaha jamaa limeimba kiswahiliii
 
Ooh bariki...tandalee na wanaonipiganiaa..waweze walio goma waweze kuweza...kuwezq...oya aaayee man following me follow follow..aaaayee baraka follow me follow follow .to the shuu..ogo to on....................
Naona umeshindwa kuchukua maneno aliyoimba mondi kifaransa aah aah!
 
Back
Top Bottom