Waraka wao unakubali shule kutoza viwango vya sasa iwapo kama waliidhinishiwa na kakishna hivyo sio hizo ada elekezi. Vile vile wametakiwa kupeleka kwa kamishna taarifa za viwango wanavyotoza sasa hivi na idhini ya wao kutoza ada hiyo. Hapa mimi naona kuna mambo yataibuka, inamaana zile ada za 5mil-20mil ziliidhimishwa na makamishna? Walitumia vigezo gani? Hawa ni wazalendo kweli? Mh. Rais liangalie hili suala kwa ukaribu. Wabongo tunauana wenyewe!Ndio order imeshatolewa hiyo na ifuatwe, otherwise wafungue kesi kupinga hii tozo wakiwa na sababu za msingi. Je shule na hospital ni biashara au huduma!? Kama ni huduma basi TRA wasitie mkuu huko.