Standard fee structure for private schools coming

BabuK

JF-Expert Member
Jul 30, 2008
1,845
329
It`s just a matter of time before private schools in Tanzania charge standard tuition and miscellaneous other fees, the government hinted here yesterday.

?€œThe government is preparing a circular on the trimming of the sky-high fees charged by some private schools in the country,?€? Education and Vocational Training deputy minister Philipo Mulugo told a high-profile stakeholders meeting attended by directors from educational institutions from across the country.

He said the circular takes effect next month, adding: ?€œWe (government) are convinced that the move will adequately address the problem of high school fees charged by some schools. There is a public outcry over the issue for years.?€?
The deputy minister said before coming up with the decision to regulate the school fee structure, the government carried out a comprehensive study on the cost per pupil/student schools incur per year.

?€œThe fee structure will take into close account the actual cost for day and boarding school students alike. So the fees charged will differ from category to category ?€" it will not be uniform,?€? he noted, adding that the next step would cover colleges and universities.
A recent survey by the ministry shows that fees charged by private secondary schools range from 1.6 to 4m/- per year, which comes to between 134, 000/- and 335,000/- per month for a modest school.

Deputy minister Mulugo meanwhile underscored the need for education stakeholders ?€œto critically think of ways to ensure the country comes up with a better curriculum that will meet the current needs and demands of students and society?€?.

He also asked the stakeholders and education authorities to chip in with recommendations on how to find a lasting solution to the incidence of intermittent strikes in schools, colleges and universities in the country.

?€œSome of the causes of those strikes relate to problems with the way students are taught, student population relative to school capacity, limited number of teachers, payment of students?€™ loans and exorbitant fees relative to parents?€™ incomes. So we need to come up with mechanisms or modalities that will address these challenges,?€? he added

He was emphatic that use of force cannot effectively end strikes in institutions of learning ?€œso we must identify and aim for the root causes of the problem?€?.

The meeting was organised by the Tanzania Commission for Universities under the theme: ?€œTowards Better Regulation of Education System in Tanzania?€?.

In July this year, some Members of Parliament raised concern over the notorious skyrocketing of fees in private schools. Special Seats MP Christina Mughwai (Chadema) demanded that the government explain why no action taken against private school owners overcharging students and forcing parents to contribute to the construction of the school buildings contrary to the law.

Deputy minister Mulugo responded by warning the school owners to stop the forced contributions, saying the practice was unlawful.

He said Education Circular No. 19 of 2002 directed the owners of private schools to charge 380,000/- for boarding schools and 150,000/- for day schools, but most school have continue to charge much higher fees with relative impunity even when academic standards are awfully low.

Mulugo noted that even considering rises in running costs, some schools were charging unreasonably high fees they could not defend.

He added, though, that part of the problem was that some parents and students had so much preference for private primary and secondary schools that they seldom took time to consider the quality factors and cost implications.

However, it has long been understood that the ministry is about to come up with a new fee structure for both public and private schools.

SOURCE:
THE GUARDIAN

kupitia GAZETI LA DAILY NEWS TAREHE 4/12/2015. UKURASA 3

KATIBU MKUU; KATOA GHARAMA ELEKEZI KUWA ADA YA SHULE BINAFSI , DAY 150,000/= BORDING 380,000/= MWAKA 2016
 
magufuli akiliweza hili yaan (HIKI KIJACHO TUMBONI) ntamwita mwanangu magufuli au JANET

huu ni mfupa mgumu kupindukia sijui kama ataliweza
 
Honestly it doesn't add up nursery 2m University fees 1M for a year! Na iwe tu hata elfu hamsini
 
Hii kitu haitaka iwezekane na mlio na ndoto ya kushuka kwa fee ya private school muache kuota.

Serikali anbayo haiwezi nunua madawati kwa shule zake itatoa wapu ruzuku kwa shule binafsi?

Hivi serikali itakua inalipa hadi mishahara ya private school? Endeleeni kuota watoto wenu kusoma Feza au IST kwa laki tatu.

Hizi Private school ziko tangu enzi za Nyerere na bado waliosoma huko ni watoto wa matajiri na expatriates hata watoto wa Nyerere hawakusoma hizo shule.

Kama pesa haitoshi peleka mtoto wako shule ya serikali ila usilazimishe standard fee kama mafuta ya diesel, quality ya elimu inatofautiana shule moja hadi nyingine kwa sababu ya uwekezaji.

Mtu hawezi wekeza facility za 2m kwa kila mwanafuzi kwa mwaka leo uje umwambie eti school fee 150,000/= Tuko kwenye free market economy.
 
Leo watoto wanafunga ngoja tusubiri file zao,maana mtu baada ya kuangalia matokeo ya mtoto kwanza unakimbilia kwanza karatasi yenye malipo ya mhuula ujao kuja wanataka ngapi
 
Tusubiri tuone, serikali iliyopita ilikuwa maneno 98% vitendo 2%, sasa hii ya JPJM sijui itakuwaje katika hili eneo la elimu.
 
Si kweli Mimi Tomaso,watoke mil 2 au 3 mpaka laki tatu, haipo hiyo

He said Education Circular No. 19 of 2002 directed the owners of private schools to charge 380,000/- for boarding schools and 150,000/- for day schools, but most school have continue to charge much higher fees with relative impunity even when academic standards are awfully low.
 
Mimi mtoto wangu karudi likizo nyumbani kutoka moja ya shule za binafsi na kaniletea barua inayoonesha mchanganuo ufuatao kwa malipo ya shule kwa mwaka 2016:

1.Ada kwa bweni Tsh 900,000/=
2.Ada kwa kutwa Tsh 650,000/=
3.Matibabu Tsh 50,000/=
4.Ukarabati Tsh 50,000/=
5.Rimu mbili Tsh 24,000/=
6.Jaribio mkoa Tsh 12,000/=
6.Mtihani wa Taifa Tsh 12,000/=
7.Picha Tsh 5,000/=
8.P.T kwa wasichana Tsh 5,000/=
9.Mahafali ya Kidato cha 4 Tsh 5,000/=

Mtoto huyu mwaani anaingia kidato cha 3.Fedha hii nimeelekezwa niingize katika akaunti ya shule kabla mtoto hajaripoti shuleni na nisipofanya hivyo hatapokelewa. Sasa hawa jamaa serikali itakuwa na uwezo kweli wa kuwashurutisha hadi ada na michango mingine ipungue kwa kiwango atakachomudu mlalahoi kweli? Mimi yangu macho na masikio!
 
Tunahitaji sekita ya elimu kusimamiwa ili kuondoa matapeli wanaowatapeli wazazi kwa kuwatoza ada kubwa kuliko ubora wa elimu wanazowapatia watoto lakini ukurupukaji wa kurudisha elimu yetu enzi za kupeleka watoto kenya na uganda haikubaliki.

Serikali itengeneze standard ya quality za shule kama majengo, vifaa vya kufundishia, viwanja ya ichezo na baada ya hapo wakae wadau wote wa sekita ya elimu kuweka mfumo wa ada unaokubalika kwa wote

vIwango hivivya ada havikubaliki na kipofu wa misha pekee ndiye anaweza kuvishangilia Bila kutazama yanayokuja huko mbele kutokana na viwango hivi.
 
kupitia GAZETI LA DAILY NEWS TAREHE 4/12/2015. UKURASA 3

KATIBU MKUU; KATOA GHARAMA ELEKEZI KUWA ADA YA SHULE BINAFSI , DAY 150,000/= BORDING 380,000/= MWAKA 2016

sidhani kama shule zitabaki kwa gharama hzi!
 
Hii kitu haitaka iwezekane na mlio na ndoto ya kushuka kwa fee ya private school muache kuota.

Serikali anbayo haiwezi nunua madawati kwa shule zake itatoa wapu ruzuku kwa shule binafsi?

Hivi serikali itakua inalipa hadi mishahara ya private school? Endeleeni kuota watoto wenu kusoma Feza au IST kwa laki tatu.

Hizi Private school ziko tangu enzi za Nyerere na bado waliosoma huko ni watoto wa matajiri na expatriates hata watoto wa Nyerere hawakusoma hizo shule.

Kama pesa haitoshi peleka mtoto wako shule ya serikali ila usilazimishe standard fee kama mafuta ya diesel, quality ya elimu inatofautiana shule moja hadi nyingine kwa sababu ya uwekezaji.

Mtu hawezi wekeza facility za 2m kwa kila mwanafuzi kwa mwaka leo uje umwambie eti school fee 150,000/= Tuko kwenye free market economy.

Ndio order imeshatolewa hiyo na ifuatwe, otherwise wafungue kesi kupinga hii tozo wakiwa na sababu za msingi. Je shule na hospital ni biashara au huduma!? Kama ni huduma basi TRA wasitie mkuu huko.
 
Hii kitu haitaka iwezekane na mlio na ndoto ya kushuka kwa fee ya private school muache kuota.

Serikali anbayo haiwezi nunua madawati kwa shule zake itatoa wapu ruzuku kwa shule binafsi?

Hivi serikali itakua inalipa hadi mishahara ya private school? Endeleeni kuota watoto wenu kusoma Feza au IST kwa laki tatu.

Hizi Private school ziko tangu enzi za Nyerere na bado waliosoma huko ni watoto wa matajiri na expatriates hata watoto wa Nyerere hawakusoma hizo shule.

Kama pesa haitoshi peleka mtoto wako shule ya serikali ila usilazimishe standard fee kama mafuta ya diesel, quality ya elimu inatofautiana shule moja hadi nyingine kwa sababu ya uwekezaji.

Mtu hawezi wekeza facility za 2m kwa kila mwanafuzi kwa mwaka leo uje umwambie eti school fee 150,000/= Tuko kwenye free market economy.

Shule ni long term service investment, huwezi kumchaji mwanafunzi primary au nursery 1.5m kwa sababu ya tamaa ya ada na kulipa investment muda mfupi! Shule inatakiwa iwe ni life time project! Walimu wa private kila siku wanahama mishahara yenyewe midogo.
 
Back
Top Bottom