Standard Chartered Bank : Additional Disclosure Provision! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Standard Chartered Bank : Additional Disclosure Provision!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Baba_Enock, Oct 7, 2010.

 1. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  ...with effect from 8th of October, 2010 a new provisionshall be added .... which deals with Disclosure and the same shall read as follows:-

  "Without prejudice to any rights of any Standard Chartered Group (SCG) member to disclose information as provided by General Law or applicable legislation or regulation, I/We agree that any SCG member may disclose any relevant information to any Authorized recepient, regardless of the country or territory.

  Authorized Receient shall mean:
  a)
  b)
  c)
  d)
  e)Any regulatory, Supervisory,governmental or quasi Governmental Authority which has jurisdiction over any SCG member
  f)
  g)....."
   
 2. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wanajilinda tu hao si unajua siku hizi " Data privacy" kwenye Financial institutions ni issue?
   
 3. M

  Malila JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ndio maana nilipofika NMB siku moja juzi kuingiza tusenti kwenye a/c ya dogo nikaambiwe nitoe maelezo,vile vijisenti ni vya nini? Kwa hiyo ikabidi nyuma ya pay slip. Sijui kama na wengine yamewakuta haya mambo.
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kiongozi,

  Maelezo ya nini tena? Kwamba hizo pea unazotaka ku-deposit umezipataje? Strange!
   
 5. H

  Hardwood JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 853
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 80
  Money laundering haiwezi kuzuiwa na vimkakati uchwara, mbona Chenge alipitisha vijisenti vyake (USD 1000,000/-) na vikafika visiwa vya Jersey bila bughdha....Ila mlalahoi thubutu uone.... Unaweza ushtakiwe kwa kosa la uhaini....kisa?...system haikujui???
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Data Privacy: Sheria ya Fedha inasemaje?
   
 7. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2010
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kama sikosei SCB ni bank kubwa Middle East zaidi ya sehemu nyingine iliopo...This is US effort to track Fund movement/transaction between the so called terrorists....the aim is to weaken financial influence of Nuclear-Iran and the allegedly suicide bombers supporters...
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  (/-) ni alama ya TZS.
   
 9. M

  Malila JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Nikamwambia mimi pia nina a/c hapa na hata posho yangu ya mwisho wa mwezi inapita hapa,check basi uone, jamaa akasema nimepewa amrina hiyo. Nikamuuliza,amri hii inagusa wote?akacheka vizuri hadi na mimi ikabidi nifuate masharti yake. Akaniambia na yy hajui kwa nini wakuu wakuu wake kwa nini wanasumbua wateja.

  Kali ya pili,ni hii,ukitaka kuchukua vijisenti NMB basi visizidi 3.0M,hasa kwa mikoani,vinginevyo andika barua siku moja kabla. Hili bado halijanipata.

  Hivi mafisadi wanaulizwa yote haya? Au ni sisi tu akina pangu pakavu tia mchuzi? Lakini yote haya yana mwisho.
   
 10. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hiyo ni sheria ndogo ya baadhi ya benki mkuu , kuna limit fulani ambayo huwa wanaruhusu wateja ku-withdrawal bila kikwazo ......but ikizidi hiyo limit ni lazima uandini barua in advance ili waweze ku-stabilise liquidity ya branch husika.
  Kwa wataalam wa banking/finance nadahani wanajua kazi za asset - liabilities committee (alco) ndani ya bank
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ukweli ni kwamba wamelizwa sana hawa wenye mabenki ndomana ss wanajitahidi kujilinda ss baada ya kupigwa sana jamani wabongo kiboko
   
Loading...