Stand ya dala dala yauzwa kaufisadi kengine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stand ya dala dala yauzwa kaufisadi kengine

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Negrodemus, Feb 8, 2011.

 1. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,119
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Katika hali isiyo kua ya kawaida manispaa stand ya dala dala iringa mjini yauzwa kwa mfanyabiashara maarufu hapa mjini, suala hilo limepelekea madereva hiace kugoma kuingia katika stand hiyo kwa takribani siku 3 na kupaki ktk kituo cha posta badala ya kituo kikuu cha miyomboni kilichouzwa, leo asubuh uongozi umekana hiyo tuhuma na naib meya kabanwa na kukanusha hilo suala. Ila ukwel ndio huo kituo cha miyombon iringa mjini hatunacho tena ni kaufisadi kengine tunauza mpk stand?
   
 2. S

  Selungo JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na bado.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,991
  Trophy Points: 280
  CCM OYEEEEEEEEE:popcorn:
   
Loading...