daud magigo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 979
- 425
Nchi ikiingia katika RUSHWA system yote huwa inaparanganyika,siyo serikali,bunge na mahakama wote chali.Hivi kwa nini Rais wetu hakuliongelea hili? BOT inajua taratibu sahihi za uchukuaji wa fedha kwa nini Gavana yupo kimya? Najuta kukishuhudia kizazi cha nyoka mapema hivi.Hata akina Kigunge watetezi wa Azimio la Arusha enzi hizo kimya.Wote hao walikuwa wanafiki kwa Mwalimu.Zuma na ANC yake ni aibu sana South Africa mpaka waafrika wenzao wanawashangaa.Rushwa rushwa unatupeleka wapi sasa na viongozi wetu?
Hivi bongo hatuna ma-IT experts wanaoweza ku-hark system ya stanbic kweli!!!!!?????
Mkuu umenifanya nifikilie mbali saana...a
Kumbe Mbowe ananguvu za kimamlaka kumzidi mtukufu Prof. Dr Jakaya Mrisho Kikwete?
Hongera Chadema kuwa na mwenyekiti imaea!
Mkuu Tanzania tunaserikali ya kushughulikia wapinzani tu si kulinda maslahi mapana ya umma.sema tu watanzania tunamoyo otherwise kingekuwa kishanukaMie najiuliza hivi kumbe kama kuna vikundi vya kigaidi vinafadhiliwa fedha kuhujumu nchi yetu na fedha hizo zikapotia kwenye mabenki yetu kumbe serikali haina uwezo wa kuziamuru benki hizo kutoa taarifa ya nani kalipwa fedha hizo?
Kama sheria zetu haziwezi kupata taarifa hizo toka mabenki yetu basi tuko hatarini sana.
Natamani nijue tunawezaje kuwalazimisha stanbic watoe listHatukubali mpaka ishu ya stanbic iwekwe wazi aka sivyo hata hawa akina muhongo
Sisi hatuna moyo, sisi ni wabinafsi. Kila mtu anasemea kwake. Aliyeko kwenye system anaitetea, aliyeko nje anaongelea nyumbani. Hakuna Watu ambao wako tayari kulikomboa Taifa hili.Mkuu Tanzania tunaserikali ya kushughulikia wapinzani tu si kulinda maslahi mapana ya umma.sema tu watanzania tunamoyo otherwise kingekuwa kishanuka
Nilisoma hapa nahisi sikuelewa vizuri. Ila nahisi wana uhusiano.
Stanbic Bank - Wikipedia, the free encyclopedia
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
Connection na Ikulu kama alivyo kuwa nani iii spika kule VOdacom.Hivi ni kigezo gani kinatumiwa kuchagua mwenyekiti wa bodi?
Hivi bongo hatuna ma-IT experts wanaoweza ku-hark system ya stanbic kweli!!!!!?????
Hawana uhusiano mkuu...
Ilivyo ni kuwa, Stanbic ni subsidiary company ya Standard Bank ya South Africa, walipokuja bongo tayari Standard Chartered Bank walikuwa wana branches hapa ikabidi ili kujitofautisha, waje na hilo jina la Stanbic.
Orodha ipo Mbowe na Slaa walionekana wamebeba viroba vya pesa
Mkuu huyu jamaa akili hamna,anadhani anatetea serikaliMbowe nae anaweza kusababisha serikali na vyombo vyake vikapata ganzi?Basi cheo cha amiri jeshi Mkuu tulikitupa kwenye msitu wa hifadhi ya milima udzungwa.
lizaboni kiongozi, mbona mnakuwa vipofu kiasi hicho nyie waungwana!!! Kila kitu nyie ni siasa za kujadili mtu, hata haya mambo yanayoongelea taifa kazi yenu ni kuleta siasa za vyama tu? Lini mtakuwa kisiaaa jamani...so sad..hili taifa lina tabu kuwa na binadamu wenye weledi wa kuku.
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo