walisema mpaka January 2014.
tuvumilie..asante mkuu
Ni post zipi hizo?Muungwana Kisendi....kumbe hata weye ulikuwepo kwa zile interview!!!!
January 14' mwanzoni mwanzoni si mbali kulingana na AHADI YAO. Hii kitu ni tamuuuuuuu!!!!
Ni post zipi hizo?
Muungwana GMK... zilitolewa na STAMICO tar 13/10/2013 na interview ilifanyika tar 1/12/2013 hadi 13/12/2013 pale STAMICO makao makuu Upanga na Wizara ya Mifugo na Uvuvi pale Temeke Veterinary
Asante mkuu, kuja zingine walitoa majuzi ndo maana nikauliza, nilidhani ni hizo
Muungwana GMK... zilitolewa na STAMICO tar 13/10/2013 na interview ilifanyika tar 1/12/2013 hadi 13/12/2013 pale STAMICO makao makuu Upanga na Wizara ya Mifugo na Uvuvi pale Temeke Veterinary