Staili mpya ya wezi usiku.

Toluene

Member
Sep 12, 2011
54
39
Wezi wa usiku hasa mitaa ya sinza madukani hadi kumekucha wameibuka na staili mpya ya wizi ambayo wanaiita chipsi mayai. staili hii jamaa huchukua jiwe na kulibeba kwenye mfuko mweusi kama chipsi vile ukipishana naye tu anakutandika nalo kisogoni hadi network zinakata na baada ya hapo anakusaula kila kitu.


Chukua tahadhari!
 

Lyceum

JF-Expert Member
Oct 1, 2009
1,043
567
Sasa hivi hatutawavumilia tumechoka. Walah tutawamwaga ubongo lol
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom