Staili mpya ya wanaume walioko kwenye ndoa kutongozea!!!! Mie hoi!!!!!

[/LEFT]

Kwa hiyo ni probability, usipokumbuka utamu imekula kwake?

Hizi sheria zenu kwa kweli kama watu wangekuwa wanajichagulia gender wakati wa kuzaliwa, hakuna mtu angekubali kuzaliwa mwanamke. Yaani suala ni kusubiri apate siku zake na wewe kwa akili yako unaona hiyo ndio sababu na sio ni kuhakikisha hana mimba? Hata logic huna, eti ili ukumbuke utamu.

Kwa hiyo ukiwa mwanaume basi wewe una haki ya kuacha, ukitaka kurudi unaamrisha tena anakuletea, leo unalala huku unakula paja yeye anaumia kwa hisia mlango wa tatu, mweh!

Ooops!
 
ulishawahi alikwa shughuli za kiswahili.

Wamekodi dala dala moja wanaimba kwa mbwembwe na kuchekesha sana.

Ukashawishika kupaki vogue lako na kupanda daladala for fun?

Huwa inatokea unatamani kujichanganya uraiani.

Hata kama nyumbani kuna kuku na samaki wa kupaka kila siku, kisamvu cha jirani nitaonja tu.

Aaaaaaah! Kongosho unaniangusha na wewe! Khaaaaaa! Sasa ana ubora gani kudai AMPENDA SANA mkewe, huku jicho limemtoka kwa uchu wa kutaka kula vingine??? Kama anampenda mkewe amuwahi nyumbani!!!! Kweli mi sioni logic ya Kinafki, Kwako Lara 1 Kidude nakitaka sanaa, wala sifichi ila dnt get it twisted na My Wife nampenda sanaaa! WTF!!!!!!
 
Sisi hatujapata TUNAWAVALIA MASINGLE sio hao wanataka vyote wao!
tamaa tu wangu coz hao waume wenyewe humo ndani tunawavalia hizo pedo, skin jeans na tight pia, mbwembwe zote tunawafanyia laikini bado kuna wajaa laana wanathubutu hata kutembea na house girl, tamaa tu,,,hamna jingine
 
Mwanamke anayejiamini haolewi mke wa pili.

Labda watulizwe na mazindiko au uduni wa maisha kwenye familia walizotoka.
Ooops sijaiona hii quote jana, kwa hio siwezi kuwacha uendeleze uwongo wako hapa.

F.Y.I; Mwanamke ambaye anajiamini haogopi kabisa kuwa wa pili, watatu au wanne sababu anajua anacho kifaa cha kushindanao na wengine....wanao ogopa kuolewa ni wale wasio jiamini, anaona labda mwenzake atapendwa zaidi yake...Mana wengi wanajidanganya eti mwanaume anapenda mara moja tu wakati si kweli :biggrin:
 
mi sioni tatizo ... tabu maelewano ni ya Terms zipi.....
beside that.... marriage or not, prostute or not, short time or long relationship
wengine hawapati mapenzi ya kweli katika ndoa hilo ndio tatizo la kutoka nje ya ndoa.
 
561260_263973067051215_1379112524_n.jpg

Nimeipendapo hii kiongozi.
 
Peoplessssssssssssssssssss! Niajeeeeeeeeeeeeeeee! (Wakubwa zangu Shikamooni!)

Jamani ukustaaajabu ya Musa utayaona ya hawa waume wa wenzetu!!!!!!!!!!!!!!!!! Mwenzenu mara kibao katika starehe zangu sehemu tofauti nimekutana na hii NEW SPECIES ya KUTONGOZA ya married couple!

Baada ya salamu mtu anaanza kutupa nyavu

Mr. X :" Nilikuwa pale nikakuona, sasa nipo interested tufahamiane! Mimi bwana naitwa Mr. X, im a lawyer by the way!
"

Lara 1: " Im Lara, Ni mzururaji tu hapa town, sina kazi ya kueleweka ila nakunywa bier level zenu huku bia 3000 na sinywi kwa mawazo!!! Nashukuru kukufahamu"

Mr. X :" What a chammer! I think you should know IM MARRIED for 3 YEARS, AND WE HAVE A SON! HE IS 2 YRS, NAIPENDA SANA FAMILIA YANGU, IM SO PROUD OF THEM!!!

Lara 1: " WTF!!!!!!!(Kimoyomoyo) Mmmmmmmmh! Good fo you! (bonge ya plastic smile!!!)

Mr. X : " I dont want to beat around bushes I FIND YOU VERY ATTRACTIVE AND I WANT IN!!!!!! IF YOU GIVE ME A CHANCE I WILL MAKE YOU MY QUEEN!!!!"

Lara 1: ( Whata happened to i love my WIFE N SON????? BLOODY F!!!!)Kimoyomoyo!! " I dont do married guys!!! Oooooops!!!!

YALIYOENDELEA HAYAWAHUSU ILA LAWYER ALITUMIA HADI VIFUNGU VYA KATIBA NA BIBLE KUPANGUA HOJA!!! Ila coz alikuwa ananunua shots za TAKILA double double, mjadala ulikuwa interesting!

Hoja yangu!!!!! Kwanini mtu UTANGAZE KUWA UNA MKE NA MTOTO NA PETE UMEVAA ILIHALI UNATOLEA MACHO VINGINE!!!! ILE DIZAINI YA KUVUA PETE IMEISHIA WAPIIIII! NDO FASHENI AU??????? AU NDO TAHADHARI MAPEMA ILI BINTI ASIEXPECT TOO MUCH!!!!AJUE ATACHOKIPATA!!!! LOLEST!!!!
Mimi namkubali huyo msela,kuoa sio kwamba na kupenda (kutamani) ndio kumeisha,hapana tamaa za binadamu zinabaki pale pale,ila cha umuhimu ni kudhibiti tamaa zako kwa sababu tayari umeshaingia katika utawala ambao sio wa kuruhusu mtu mwingine aingie!
 
tamaa tu wangu coz hao waume wenyewe humo ndani tunawavalia hizo pedo, skin jeans na tight pia, mbwembwe zote tunawafanyia laikini bado kuna wajaa laana wanathubutu hata kutembea na house girl, tamaa tu,,,hamna jingine
Na gubu muache,sio ukirudi home mara umenuna,mara umesema hiki,wewe kazi yako kuagiza kama mhindi,umekaa kwenye makochi hata kikombe uletewe,wewe ni kuangalia tamthilia mwanzo mwisho na ku face buka na ku bibi em tu, kilakitu h/girl.Mna mabalaa sana wake wa siku hizi!
 
Inaonekana ni mzoefu sana,
Style ya zamani ni ipi??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Of course na wanawake wanazaliwa wazuri sana nyakati hizi sasa kama ulioa kwenye miaka ya 90s, Na ukija check vitoto vinavyochipukia kwa sasa duh, ni mungu tu aweke mkono wake maana ni wazuri kupindukia hadi naamini Evolution bado ina-take place.
 
Hahahaaaaa! Kwa hiyo unashauri watu wasioe, wasubiri evolution waonje onje kila specie!!! LOL!
 
I dont think so, we unadhani wanaume wote wanatosheka na mke mmoja unless wawe wanakasoro tu....We fikiria mwanaume gani anaweza kusubiri mke wake kukaa siku 40 baada ya kuzaa, au amepata period ya mda wa zaid ya siku nne kila mwezi asiende kudokoa nje :biggrin:
Kujiendekeza tu watu wanakaa miezi 6 mbali nawake zao bila kucheat
 
Kujiendekeza tu watu wanakaa miezi 6 mbali nawake zao bila kucheat
Kama unaishi jela sawa au porini, lakini uishi mjini na totoz zimejaa na zina mvuto wa ajabu, utasahau miezi utakuwa unahesabu weeks tu :biggrin:
 
I don’t think so, we unadhani wanaume wote wanatosheka na mke mmoja unless wawe wanakasoro tu....We fikiria mwanaume gani anaweza kusubiri mke wake kukaa siku 40 baada ya kuzaa, au amepata period ya mda wa zaid ya siku nne kila mwezi asiende kudokoa nje :biggrin:

Hahahaaa! Fazaa lini unaongeza MKE unialike japo kwenye harusi, nile pilau!!!!
 
Hahahaaa! Fazaa lini unaongeza MKE unialike japo kwenye harusi, nile pilau!!!!
Mhhhm sio leo au kesho, inategemea mana bado sina nyege za kutaka kuongeza wa pili, afu nimeisha sema kule sio wanaume wote wanauwezo wakuongeza mke wa pili, the condition of making justice is very hard:biggrin:

F.Y.I nimeinua HAND BREAK kwa wife tu, mana kila nao watazama naona hawatafua dafu kwa wife wangu, natafuta yule atakaye fanana naye kwa tabia yake, na uzuri wake naona bado sijapata...LAKINI ukweli unabaki pale pale kuongeza mke wa pili ni bora, kuliko kuzini nje ya ndoa :poa
 
Peoplessssssssssssssssssss! Niajeeeeeeeeeeeeeeee! (Wakubwa zangu Shikamooni!)

Jamani ukustaaajabu ya Musa utayaona ya hawa waume wa wenzetu!!!!!!!!!!!!!!!!! Mwenzenu mara kibao katika starehe zangu sehemu tofauti nimekutana na hii NEW SPECIES ya KUTONGOZA ya married couple!

Baada ya salamu mtu anaanza kutupa nyavu

Mr. X :" Nilikuwa pale nikakuona, sasa nipo interested tufahamiane! Mimi bwana naitwa Mr. X, im a lawyer by the way!
"

Lara 1: " Im Lara, Ni mzururaji tu hapa town, sina kazi ya kueleweka ila nakunywa bier level zenu huku bia 3000 na sinywi kwa mawazo!!! Nashukuru kukufahamu"

Mr. X :" What a chammer! I think you should know IM MARRIED for 3 YEARS, AND WE HAVE A SON! HE IS 2 YRS, NAIPENDA SANA FAMILIA YANGU, IM SO PROUD OF THEM!!!

Lara 1: " WTF!!!!!!!(Kimoyomoyo) Mmmmmmmmh! Good fo you! (bonge ya plastic smile!!!)

Mr. X : " I dont want to beat around bushes I FIND YOU VERY ATTRACTIVE AND I WANT IN!!!!!! IF YOU GIVE ME A CHANCE I WILL MAKE YOU MY QUEEN!!!!"

Lara 1: ( Whata happened to i love my WIFE N SON????? BLOODY F!!!!)Kimoyomoyo!! " I dont do married guys!!! Oooooops!!!!

YALIYOENDELEA HAYAWAHUSU ILA LAWYER ALITUMIA HADI VIFUNGU VYA KATIBA NA BIBLE KUPANGUA HOJA!!! Ila coz alikuwa ananunua shots za TAKILA double double, mjadala ulikuwa interesting!

Hoja yangu!!!!! Kwanini mtu UTANGAZE KUWA UNA MKE NA MTOTO NA PETE UMEVAA ILIHALI UNATOLEA MACHO VINGINE!!!! ILE DIZAINI YA KUVUA PETE IMEISHIA WAPIIIII! NDO FASHENI AU??????? AU NDO TAHADHARI MAPEMA ILI BINTI ASIEXPECT TOO MUCH!!!!AJUE ATACHOKIPATA!!!! LOLEST!!!!

Hehehe yaani umeniacha hoi....the story is on the otherway round... mimi kwa uzoefu wangu asilimia kubwa ya mabinti mnaokunywa bia za buku 3 mpaka buku 8 halafu ni wazururaji huwa mnatuwinda sana sisi tulio kwenye ndoa..mfano kwa wote wanaotembeleaga Level 8th , Pale Serena, Holiday Inn na Southern sun utashuhudia wanawake wengi wanaoenda pale ni wako single na wanatutoleaga sana mimacho sisi tuliooa...Lara pole sana ila nauakika jamaa alikupiga kibuti ndo maana umemind....
 
Eti wanatutolea MIMACHO. Lol.

Sema tunatoleana mimacho...

Back
Top Bottom