donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Hahaha hKuna namna mkuuHahahahaaaa eti kuna jela wewe kula bhana mambo ya jela ni changamoto tu za dunia ni sawa unawinda kitoweo porini mara unakumbana na fisi itabididi upambane tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee asubuhi hii unapiga menu hiyo angalia kuna jela na jela mambo haya hakuna na hii nchi ilivyokuwa haieleweki unaweza amkia ngome kesho ikawa mtihani kwako!
sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app