Stadium - Tanzania twanayoongoza kwa kiwango cha juu duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stadium - Tanzania twanayoongoza kwa kiwango cha juu duniani

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Aug 10, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  National Stadium ya Ghana kama old Nationa Stadium yetu ya zamani.

  [​IMG]

  VS New National Stadium yetu ya Tanzania

  [​IMG] [​IMG]

  Tulikotoka Uwanja wa Taifa wa wa zamani.

  [​IMG]
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Si ndio tulivyo mnainvest pasipo na umuhimu wa hivyo
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  ghana wana viwanja vingi sana vizuri, usikalii mambo, kumbuka walisha andaa kombe la mataifa ya africa, wakati sisi tumekazania kuandaa CHALENGE NA KAGAME CUP
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kuwa na viwanja vingi haimaanishi kuwa na viwanja vya kiwango cha hali ya juu. Mbona hata sisi tunaviwanja vya kiwango kama chao kama CCM Kirumba, Arusha ambako michezo ya kimataifa inayotambuliwa na FIFA huchezwa?
   
Loading...