Askari mpumbavu aliyejihami na silaha nzito lakini akili ya mpango hana' Adui yake anamuibukia kwa kicheko cha dharau na kumuua kwa kisu cha kukatia mboga!
Hii picha ina ujumbe mkubwa sana hapa Tz'
Mbona kama Ni Chief cooker??Nafikiri haujaielewa hiyo picha, huyo anayemchoma kisu Askari siyo adui, bali wako Jeshi moja na Askari sema au Askari aliamini hivyo kwamba wako pmj kwenye mapambano wkt Askari akiwa kazini kupambana na maadui wa nchi yake jamaa akaja kumchoma kisu kwa nyuma, kwa kifupi amewasaidia Maadui, au amewafanyia maadui kazi!
Hiyo ndiyo maana ya stab in the back, au kwa kikwetu kikulacho, kinguoni mwako!