realleonia
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 366
- 138
Igweeeh! Wanajamvi,
Nimekutana na kitu cha ajabu sana katika shule ya St. Marry tawi la Mbeya;
1.Mwaajiri hatoi mikataba ya kazi kwa wafanyakazi wake.
2.Mshahara hupangwa na mwawajiri anavyo taka bila kuangalia ngazi za mishahara na hutakiwi kuuliza kwani atakupa anavyo jisikia.
3.Hutakiwi kuuliza swali lolote juu ya maslahi yako ukiwa kazini ukiuliza unafukuzwa kazi.
4. Kila mwalimu amepangiwa zamu ya kuwa rudisha watoto makwao hivyo muda ule wa ziada hakuna malipo.
5.Hakuna mafao ya uzeeni.
Yaani walimu pale wapo wapo tuu kisa wanashida ya kazi na mamlaka husika tembeleeni muone hawa mabepari watende haki yapo mengi sana yasiyo mazuri.