St. Joseph yafungiwa kudahili wanafunzi 2016/17

St. Joseph yafungiwa kudahili wanafunzi 2016/17

Sio st Joseph tu ,, pia udom , st Francis , SUZA hamna kudahili wanafunzi kuchukua doctor of medicine ,, imtu yenyewe kozi zote
 
Hivi hawa watu wanaoi gjza UDOM hapa wako timamu kweli?Ufananishe UDOM na St something hizo ambazo wao wanawaza kupiga hela tu,kweli,?Huko wanakoenda form 4kuchukua digrii walimu wana levo gan ya elimu kwenye st hizo?Udom ya sasa ni bora sana Ndugu zangu,kwa waliyofika pale wanajua ninachosema!
 
Back
Top Bottom