FredKavishe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,090
- 318
Nahisi mtakua mnakisikia au kikujua naombeni ushauri wenu kile chuo ni kizuri au magumashi na-take comp scnc Eng.
kiko poa though sisomi hapo.. wanafanya prac nzuri!
Fafanua uzuri unaoumaanisha! Majengo? Maabara,workshops na vifaa? Malazi? Wanafunzi? Wakufunzi? Uelewa na ufahamu wa wakufunzi? Chakula?
ni wazuri,wana lab na workshop za kutosha,pia wanajua soko linataka nini!!
Wakuu pale pazuri ila nasikia kama msuli unalegalega unaweza usimalize pale. Nasikia ni kama mzumbe ya zaman kwa ktabu kgumu,au DIT na IFM ya leo. Wanaanza wanachuo 1500 kama Uhasibu pale IFM wanahitimu 435 kama ilivokuwa mwaka huu ktk kozi ya uhasibu. Ukiitaka St.joseph uwe tayari kusoma mkuu!
Ada yao iko juu sana kwa kipato cha mtanzania
Pako poa sana pindi saa mbili mpaka saa kumi jioni'ada kubwa lakni education wanayotoa ni nzuri huwez kukacha pindi atendance inatakwa kuwa above 85 ndo utafanya modal examz'library imeshba kidogo kuna jamaa kutoka udsm wanataia kambi kusoma vitabu
Bw Majanikv, wewe si ndiye uliyeuliza swali kuhusu St Joseph whether ni kizuri au laa, halafu wewe mwenyewe ndiye mchangiaji mkuuu kuwa chuo kipo poa . je ulitaka kupata ushauri au kutueleza kuwa chuo kipo poa. A ndo kukirusha chuo hicho? Nakifahamu kiasi chuo hizo, lab nzuri, library yake ni ya kawaida kabisa na walimu wake michosho sana ( vilaza)