Septicemia sawa maana ni maambukizi ya bacteria kwenye mfumo wa damu ila ukimwambia mtu una maambukizi tu bila ku specify ni maambukizi ya aina Gani SI sawa unakuwa huna tofauti na wale jamaa wa herbal clinic anamsambia mgonjwa
DX ; Stress
Treatment; Apunguze mafuta ale mboga mboga na matunda na hapo keshakufanyisha kipimo Cha mwili mzima bill inakuja laki 350.