Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,389
Kwa hiyo huamini kwamba 97 students wanaweza kupata A, ila mmoja au wawili, watatu wanaweza kupata? What's the difference? Ndiyo maana ya ule msemo: ^Tembea uone!^Sikia nikwambie mkuu maisha ya shule Mimi nayajua Tena zaidi ya unavodhani ...
Shule kubwa kama hizo ,zinawalimu wakubwa Sana wenye uzoefu wa hali ya juu ,na wanakuwa na connection na walimu wengine zaidi ..
Wanaotunga mitihani ni walimu kutoka kanda mbalimbali ,na wabobevu ,hutoa maswali na mwisho wa siku mtihani kitungwa ...
Utake usitake ,upende usipende hizi shule zinamazingira Safi ,walimu Safi ,lakini wananunua mitihani week kadhaa kabla ya pepar ,.....
Fuatilia mitihani wanayofuanya week mbili kabla ya mtihan pre -necta ,ready for necta ,hio ndio mitihan inayotolewa imejaa maswali yanayotoka necta ...
Sio kwamba wanasoviwa siku ya mtihan hapana ,wanafanya maswali yatakayotoka necta week kabla na walimu wanasisitiza kuyakalili ,....
Kama Kuna swali gumu ambalo linasahaulika ,basi mwalimu ataliimba darasana kila siku na mwisho wa siku wanalikuta necta ....
A inaanzia 81-100 ,bro mtihan wa physics , mathematics , biology , chemistry kwa watoto wote 97 wapate A ,???????? Hawa wa kibongo kabisa ? Woteeeee ? ....
Aiseee ,Mimi nakataa hayo matokeo ...hao watoto uwezo wao wa kawaida tu ,sio wa kupata huo ufaulu wote ,kwa kusema sijui walimu Bora ,mazingira Bora ,...
Utakuta matoto mengine yanajaza 'le' badala ya 're' na amefundishwa huyo.Mitihani ya siku hizi hamna kitu 1. Rais wa kwanza wa Tanzania ni nyerer......... 2. Binadamu ana macho mawi.......
Aksante sana...Tuache wivu usio na maana,
Tusiongee tusiyo yajuwa,
Tembelea ile shule uone walivyo makini.
Kuanzia kutunza muda, kazi za ziada pamoja na masomo.
Ni kweli kabla ya kuingia pale lazima mwanafunzi afanye mtihani wao, ambapo waliofaulu vizuri ndio huchaguliwa, hakuna rushwa.
Hivyo siri ya kwanza ni uchaguzi wa wanafunzi.
Siri ya pili ni walimu bora na wanao jituma.
Siri ya tatu ni motisha kwa walimu na wafanyakazi kutoka kwa mwajiri.
Siri ya nne ni nidhamu kali ikiambatana na sheria zao
Siri nyingine ni kumcha Mungu, wana ratiba nzuri ya kumcha Mungu
Siri nyingine ni nidhamu ya ratiba na muda, kwa waliopeleka watoto wao pale waulize hutokea nini wakichelewa hata dakika 5.
Hakika wanastahili pongezi.
Hivyo badala ya kubeza, yafaa kujifunza utaratibu wao wa ulezi na ufundishaji.
Ada yao 2021 ilikuwa around milioni mbili na laki tano kwa mwaka, shule nyingi pia zinatoza hivyo.
Dhana ya kwamba A level hawafaulu sana ni kwa sababu ya ufundishaji tu wa shule waendazo.
Hata huko vyuoni, sababu ni hizo hizo, na uhuru ambao hawajauzoea na hupelekea kujisahau kisha kuharibikiwa, wababa na vijana wengi huwaharibu watoto wa vyuo iwe kwa tamaa au ushawishi. Lakini pia bado wahadhiri wengine wana ile tabia ya kukomoana, ama kutofundisha ipasavyo...
#Kutokufaulu siyo chaguo!
Hongera sana kwa St. Francis Girls.
Hilo swali unaniuliza mimi au haujaelewa hoja yangu? Ninawafahamu tangu interview yao ya kwanza walipoanza na darasa moja. Mpaka interview yao ya mwisho yenye wanafunzi 92.Kwanza huo mchakato wa kupata nafasi pale unaufahamu vizuri? Ndungu yangu pale wanakwenda top cream,nina watoto wawili nawafahamu wamepita pale na wote wametoka na GPA ya 3.9 na 3.8 UDSM tena Civil Engineering na Geology.Tukubali tu pale wanakwenda watoto walio vizuri kichwani.
O-Level Grading systemSikia nikwambie mkuu maisha ya shule Mimi nayajua Tena zaidi ya unavodhani ...
Shule kubwa kama hizo ,zinawalimu wakubwa Sana wenye uzoefu wa hali ya juu ,na wanakuwa na connection na walimu wengine zaidi ..
Wanaotunga mitihani ni walimu kutoka kanda mbalimbali ,na wabobevu ,hutoa maswali na mwisho wa siku mtihani kitungwa ...
Utake usitake ,upende usipende hizi shule zinamazingira Safi ,walimu Safi ,lakini wananunua mitihani week kadhaa kabla ya pepar ,.....
Fuatilia mitihani wanayofuanya week mbili kabla ya mtihan pre -necta ,ready for necta ,hio ndio mitihan inayotolewa imejaa maswali yanayotoka necta ...
Sio kwamba wanasoviwa siku ya mtihan hapana ,wanafanya maswali yatakayotoka necta week kabla na walimu wanasisitiza kuyakalili ,....
Kama Kuna swali gumu ambalo linasahaulika ,basi mwalimu ataliimba darasana kila siku na mwisho wa siku wanalikuta necta ....
A inaanzia 81-100 ,bro mtihan wa physics , mathematics , biology , chemistry kwa watoto wote 97 wapate A ,???????? Hawa wa kibongo kabisa ? Woteeeee ? ....
Aiseee ,Mimi nakataa hayo matokeo ...hao watoto uwezo wao wa kawaida tu ,sio wa kupata huo ufaulu wote ,kwa kusema sijui walimu Bora ,mazingira Bora ,...
Big No.mitihani inatungwa rahisi kisiasa kwa ajili ya wanasiasa wa ccm kuja kusema 'ufaulu umeongezeka'. kwa hali kama hiyo na kwa shule kama St. Francis ambapo nyenzo na mazingira ni rafiki sana kwa wanafunzi, ufaulu wa aina hii unatarajiwa.
unataka kubishana.Big No.
Mitihani iko very standard...hebu fuatilia matokeo kwenye shule zetu za kata.
Kwa mazingira ya sasa...mambo mengi yamerahisishwa, tofauti na miaka ya nyuma...ni jitihada ya mtoto na mazingira yake...
Binafsi nafundisha Basic Mathematics...je, unaamini wanafunzi(100+) niliowafundisha f4 2021 hawana F hata moja kwenye somo hilo???unataka kubishana.
tafuta mtihani wa Basic Mathematics 1996 wape wanafunzi (na walimu wao) wa hizi shule za mfumo wa Kata uone kama yupo mmoja atatoka japo na B.
Siri ya mafanikio yao cha kwanza kwenye mitihani ya kujiunga na shule hizo wanachukuwa cream ya watoto wenye uwezo kichwani tu na si vinginevyo.Kama unataka kuaamini, baada ya kumaliza huo mtihani, wachukue hao watoto watungue paper la standard ya kawaida tu, then wape uone kama hao watoto wote 97 wanaweza kupata one ya point 7.....
Unajua div 1.7 wewe ,yaani watoto wote hao wapate A 7 kwenye masomo yao?????.....
Hao watoto ni weupe mno ,believe me, ni vile tu hata advance wanapelekwa shule za aina hio hio ,Bado vyuoni wanaenda kupotea kwani hawaoneshagi uwezo huo kabisa ,wanaishia gpa za 2.3 na supp juu😂😂😂😂
Big no
Mimi nimewahi kuitembelea St. Francis. Wanastahili na wamejengewa mazingira mazuri kwa kweli.Aksante sana...
Jamani tujifunze...mimi ni Mwalimu...ufaulu wa mwanafunzi ni mazingira anayojengewa, Mwalimu awe na hamasa, ufuatiliaji, ratiba nzuri, vijana wakiandaliwa vizuri, wanafaulu. Niliwahi kuwasaidia wanafunzi wa kidato cha nne wa shule moja ya kata...jamani jamani, wana sababu zote za kupata hizo alama wanazopata...wengi hawamalizi mada kwa wakati, hakuna walimu kwenye baadhi ya masomo, mwalimu mmoja ana mzigo mzito wa vipindi, ufuatiliaji mdogo, hawana hamasa, mazingira magumu ya kazi...na mengine mengi.
Tujifunze kutoka St Francis...sio rahisi kuwa na mafanikio hayo kwa muda wote huo!
Mimi binafsi nakataaa hayo matokeo aisee, hata kama wana akili huo ufaulu wa kiasi hicho kuna kitu cha ziada... Hiyo shule ichunguzwe vzuri kuanzia miezi mitatu kabla ya kufanya mtihani na siku za mitihani
Aksante sana Mkuu...Mimi nimewahi kuitembelea St. Francis. Wanastahili na wamejengewa mazingira mazuri kwa kweli.
Sasa usiivunjie heshima shule yako, unapoanza sentensi anza na herufi kubwa.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimesoma hapo funny thing toka enzi zetu wa mwisho alikuwa na 2 ya mwanzo
Hatukuwahi kuletewa mtihani wala majibu
Ila niwashauri tu Kama mnataka shule nyingine ziperform kama hivyo nendeni mkae week moja tu mtajifunza kitu
Hakuna uchawi wowote ni kitabu na sala kwa sana
Nilikuwa nasali jamani nusu niwe sister na mimi [emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] laFA sana wwMitihani ya siku hizi hamna kitu 1. Rais wa kwanza wa Tanzania ni nyerer......... 2. Binadamu ana macho mawi.......
Jack of all trades ,master of none .Ni wakat sasa St Francis waweke na A level....
Hii ni kamba ila poa tumekupata hivyo hivyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimesoma hapo funny thing toka enzi zetu wa mwisho alikuwa na 2 ya mwanzo