SSRA, PSSSF sasa ruksa kutuibia

SSRA, PSSSF sasa ruksa kutuibia

subirini " hivyo hivyo huku mkiamini kuwa mungu atawasaidia" wakati mnakao umia ni nyinyi"... simme mpa dudu linalouma kidole acha Liwang'ate mkome
 
sijawahi kuona uongozi wa ajabu kama wa awamu hii.PAYE tunakatwa kubwa cha maana hakuna then hata unachochangia kinaminywa. Halafu mtu mbulula anakwambia tuwe na uzalendo.??
 
Ukitaja SSRA what comes in mind first ni muuza sura flani aliyechomekwa pale miaka hiyo na ambaye pamoja na kua ni msomi ila anachofanya sikijui zaidi ya sisi kumhudumia kwa pesa zetu.

Yaani tumfanyie kazi Irene Kisaka? No no no no. Ingawa ni mzuri kwa sura nasikitika kusema I hate her!! .... Sioni kazi ya SSRA! Nilitegemea Magufuli angeifuta mamlaka hii lakini wapi. Serikali inayotaka kusimama kwa kuiba fedha za wanyonge ni Serikali inayojitakia làana. Wangesema tu kwamba wanachokata nssf ni kodi na sio akiba ya mfanyakazi. Je Utawala huu una mpango wa kuua watu wake ili ijichukulie fedha za NSSF nk kiulani?
Acheni ujinga bwana mtu akiacha kazi alipwe fedha zake zote. Hizo zingine porojo tu. Shame on you... Mbona nyie wabunge kama Jenister Mhagama mkimaliza muda wa miaka mitano bungeni mnachukua mamilioni yenu faster....
Hawa wenye laki moja bado mnataka kuwasumbua... You are monsters/ nyambuda...
 
Wana nipa kichefuchefu hawa nssf
 
Eti selekale ya wanyonge... Shitiholu

Gang of robbers. Yes, thieves of the worst kind. Hawa ndo walewale mabepari na wanyonyaji. You can do what you like but don't mess with my money. If I die tonite....... What a noisy Govt we are having now in this country!!
 
Inabidi kura za vijana mwaka 2020 ziende kwa atayehaidi kurejesha fao la kujitoa. Kufuta fao la kujitoa haifai kwa nchi zetu hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba MTU mwenye kuhifamu vizuri hii sheria ya mpya ya mafao,atueleze vizuri..ili tupige kelele kwa pamoja
 
Hamna sheria hapo ni wizi mtupu,
Ukiona selikari ndiyo inataka mabadiriko ya sheria na si wanachama wenyewe basi ujue kinachoenda kufanyika ni kilio kwa wanachama,
Wanachama wa mifuko ya hifadhi za jamii kilichokua kilio chao hakijafanyiwa kazi, Bali umetumika mwanya wa kubadilisha sheria kutimiza Marengo yao ya wizi na unyanganyi, usioelezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hua inafikia kipind naichukia sana siasa lakin badae nagundua ni serikal yetu tu ndo haina siasa safi. Siasa za nchi hii zimekaa kijanja janja kwa lengo tu la kuwaibia na kuwadhuluma.

Ukichunguza kwa makin sana utagundua kabsa kua serikal yetu haimtakii mwananchi maisha mazur ipo kwa jil ya kuneemesha viongz tu na kukandamiza wananchi.

Maendeleo ya nchi yanaanza na ustawi wa mtu mmoja mmoja so kwa hili tusitegemee kuendelea. Serikal itaendelea kupika tu takwim za maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom