SSH Tafakari kuhusu hili.

SSH Tafakari kuhusu hili.

Mfululizo wa viongozi kujiuzulu katika awamu yako umeongezeka na unatishia sana Usalama wa kidemokrasia wa taifa, mheshimiwa rais nakushauri kataa Barua yake hii ni aibu kwa taifa letu.

Orodha ya walio jihudhuru kwenye muhula wako.
1. tulia
2. ndugai
3.majaliwa
4. mpango
5. polepole
6. Nchimbi

Mheshimiwa Rais hili linatishia usalama wa kidemokrasia wa taifa letu na kuchochea maswali ya kwanini viongozi wengi wanajiweka kando na uongozi wako.? Pia heshima ya taifa letu uthoofika kutokana na orodha hii kuongekeza katika muhula wako.

Orodha hii si mwamba wote walijihudhuru bali kuonyesha kwao tu wanaitaji kufanya hivyo udhoofisha usalama wa kidemokrasia wa taifa letu.

Pia swali lingine ni Je, Asilimia 98% zilikuwa za kuokoteza....? na je watu kuny'atuka si hatari kwa usalama wa kidemokrasia ya taifa...?

Nakutakia tafakati ya kina, maana ukijumlisha na mvutano wa jumuiya za kimataifa, kesi za uhaini, yaliyotokea tarehe 29 october na siku zilizofuata, n.k naona unapaswa kutafakari na kupata utulivu wa kiakili, n.b Sikiliza ushauri wa wanaokuzunguuka vizuri.

Nawasilisha.
kuna watu mnaharibu sifa njema ya taifa letu.
 
Wazanzibar wanakulaga misamaki fln hiv inawajaza ukavu wa hisia, yani cold heart kabisa. Mtakufa wote muishe na hakun mtu atakaejihis ana hatia
 
Mfululizo wa viongozi kujiuzulu katika awamu yako umeongezeka na unatishia sana Usalama wa kidemokrasia wa taifa, mheshimiwa rais nakushauri kataa Barua yake hii ni aibu kwa taifa letu.

Orodha ya walio jihudhuru kwenye muhula wako.
1. tulia
2. ndugai
3.majaliwa
4. mpango
5. polepole
6. Nchimbi

Mheshimiwa Rais hili linatishia usalama wa kidemokrasia wa taifa letu na kuchochea maswali ya kwanini viongozi wengi wanajiweka kando na uongozi wako.? Pia heshima ya taifa letu uthoofika kutokana na orodha hii kuongekeza katika muhula wako.

Orodha hii si mwamba wote walijihudhuru bali kuonyesha kwao tu wanaitaji kufanya hivyo udhoofisha usalama wa kidemokrasia wa taifa letu.

Pia swali lingine ni Je, Asilimia 98% zilikuwa za kuokoteza....? na je watu kuny'atuka si hatari kwa usalama wa kidemokrasia ya taifa...?

Nakutakia tafakati ya kina, maana ukijumlisha na mvutano wa jumuiya za kimataifa, kesi za uhaini, yaliyotokea tarehe 29 october na siku zilizofuata, n.k naona unapaswa kutafakari na kupata utulivu wa kiakili, n.b Sikiliza ushauri wa wanaokuzunguuka vizuri.

Nawasilisha.
Na anaye/wanafuata,🤔
 
umemsahau katibu wa ccm.
 
Kwenye Katiba Mpya tuandike ni marufuku Mwanamke kuwa Rais Tanzania, mpaka Dunia itakapoisha.
 
Hapana, shida ni katiba inapaswa kjwa na mamlaka maalumu ya usimamizi wa misingi ya katiba yenyewe.
Tembelea www.katibampya.com hipo rasimu yenye muundo wa mihimili minne ya kitaifa.
 
Back
Top Bottom