SSH Tafakari kuhusu hili.

Mkuu pamoja na hao uliowataja, ni vyema pia ukaangalia amebadilisha mara ngapi
1. Wakurugenzi wa TISS
2. Nafasi ya Katibu Mkuu Taifa wa CCM pamoja na sekretarieti yake?
3. Nafasi ya Katibu Mkuu Kiongozi
4. Nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa wa CCM
5. N.k, n.k,
 
Kuna watu wa kujiuliza sio huyo kilaza uliye mtaja
 
Mkuu pamoja na hao uliowataja, ni vyema pia ukaangalia amebadilisha mara ngapi
1. Wakurugenzi wa TISS
2. Nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na sekretarieti yake?
3. Nafasi ya Katibu Mkuu Kiongozi
4. N.k, n.k,
Duh....... aibu naona mie wallah, yani ccm.imegeuka kama simba siku hizi, msimu mmoja makocha nane (8) team inaenda kufaa hii.
 
Okay, tukubaliane kuhusu Tulia na Majaliwa kwamba muda wao uliisha. Vipi kuhusu yeye muda wake haukuisha?? Na Mpango hivi aliingia au alikuwa na muda gani kwa nafasi ya Umakamu??

At the end of the day, the King (soma the Queen) and Pawn will go into the same box.
Mpango muda wake uliisha siyo lazima kuendelea nae

Tulia the same

Majaliwa the same

Pole Pole snitch alichokitafuta amekipata

Ndugai Mungu kampenda zaidi

Nchimbi kaondoka kwa hiyari yake

Tanzania is there to stay and Samia ni President
 
Mtasubiri sana

CCM ni master wa hizo calculations

We hujiulizi kwanini chama cha mapinduzi kinaitwa kidumu??

Matatizo yanapozidi mtoto wa kiume usiishie tuh kula ndumu
 
Sasa kama ni maslahi kwanini wasitulie abaki huyo kisha nyuma ya panzia wale kwa kujimwaga why wanangoana ngoana hovyo, yani ccm wamegeuka samaki walakulana wao kwa wao, kila siku mtu anaachia ngazi why.........?
Hicho chama ni kama genge la khanga moko au baikoko... Kadri wanavozidi kulewa ndivyo wanavochanganyikiwa!
 
Mpango muda wake uliisha siyo lazima kuendelea nae

Tulia the same

Majaliwa the same

Pole Pole snitch alichokitafuta amekipata

Ndugai Mungu kampenda zaidi

Nchimbi kaondoka kwa hiyari yake

Tanzania is there to stay and Samia ni President
Ukute na wewe ni s.hoga.
 
una
una uhakika anao uwezo wa kutafakari?
 
Mpango muda wake uliisha siyo lazima kuendelea nae

Tulia the same

Majaliwa the same

Pole Pole snitch alichokitafuta amekipata

Ndugai Mungu kampenda zaidi

Nchimbi kaondoka kwa hiyari yake

Tanzania is there to stay and Samia ni President
Nchimbi kwa hiari yake??
Mpango muda wake uliisha siyo lazima kuendelea nae

Tulia the same

Majaliwa the same

Pole Pole snitch alichokitafuta amekipata

Ndugai Mungu kampenda zaidi

Nchimbi kaondoka kwa hiyari yake

Tanzania is there to stay and Samia ni President
Nchimbi kwa hiari??
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…