hope so na nilikuwa sijui kama kuna nyingine piaOooh wa mwezi wa saba washaitwa ila wa mwezi wa tisa bado
mwezi wa tisa tayari...kuna jamaa kaanza kazi jana J3Oooh wa mwezi wa saba washaitwa ila wa mwezi wa tisa bado
Na wewe unataka kazi huko uber u dreva??Yaani ata feedback hawatoi