Sri Lanka wawafanyia maombi tembo wa Tanzania

kivava

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
5,772
4,925
Wadau Leo saa sita BBC wamewaonyesha waumini wa dini ya Budhaa wakifanya maombi maalum kwa tembo wa Tanzania waliouwawa na meno ya kupelekwa kuuzwa kwao
Pembe hizo zimepimwa DNA na kugundulika zimetoka Tanzania zimesagwa na kuchomwa moto.
Ombi langu kwa Mtumbua Majipu re organize idara ya Mali asili bado Kuna viwavi Tele na ujangili unaedelea
Kwa mujibu wa Raia Mwema majangili ndio waliopanga mawaziri wa utalii awamu ya nne
 
duh kasheshe
 
Back
Top Bottom