Kahama- shy
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,951
- 2,694
Jamaa kawauza alikuwa anawachora Season 2 tu kumbe ndo kiongozi mwenyewe, laiti jamaa angelijua
kweliJamaa wamekurupuka tu ili wapige hela.. hii season 2 haina suspense kama season 1. Inachosha kutazama, imeshia episode 7 na stori haijakamilika.
anza upya tunimeshahau hata part one iliishia wapi
Huo muda sasa,hela nitatafuta saa ngapianza upya tu
nshacheki zote saivi
Na kuna sehemu alijichanganya alimuita jamaa kwa jina lake mchizi kama akashtuka ila akazuga alimsikia jamaa ake akimuita hivyoView attachment 3187550
Jamaa kawauza alikuwa anawachora Season 2 tu kumbe ndo kiongozi mwenyewe, laiti jamaa angelijua