Spy post mortem of Alexander Litvinenko, most dangerous

Spy post mortem of Alexander Litvinenko, most dangerous

A traitor deserved this! Former Russian spy alegedly working fo M16??? WTF was he expecting?? DEATH, by any means!!
 
Hao jamaa wa KGB/FSB waliwezaje kuingia UK na hiyo radioactive material? Ina maana airport za UK ni nyepesi hivyo kuwa infiltrated?
Hili tukio ni tukio lililopangwa kwa ustadi mkubwa sana hata hiyo team ya inquary haijaweza kuja na data za maana zenye kuweza kuwafunga washukiwa.

Hapa jamaa walitumia radioactive material ambayo ni rare kwenye matumizi ya intoxication uingereza au tuseme katika dunia ya miaka ya 2000.

Hili liliwachukua muda madaktari wa uingereza kugundua jamaa amepewa sumu gani.

Hata radiaoctive screening ya mwanzo haikufocus kwenye polonium 210.

Walikuja kugundua one day before death.

Pia inawezekana hakupewa hiyo sumu mara moja...yaani alikuwa akipewa katika incidence zote alizokutana na 'mfanyabiashara' wa urusi.

Traces za pollonium 210 zilionekana kwenye hoteli kadhaa mojawapo ilikuwa ya kiitaliano.

Hii tume imekula hela za bure tu...hakuna jipya zaidi ya tuhuma zile zile za kipindi kile cha sakata hili.
 
Huyu jamaa anashangaa covert operations za taifa ndan ya taifa,hata isil wanafanya covert operations na wanafanikiwa,hii inshu hahitak uwe professional spies,bal binadam yoyote akiweka dhamira ya kufanya jambo,akajipa muda na dedication lazma afanikiwe,intelligence operations znakuwa affected na human error, huwez kuzuia human error at 100%,that's why hata tz ikiamua inaweza kupenya USA na kufanya operations, kumbuka even Rwanda huwa anafanya yake mpaka ulaya

hapa kwetu tu huwa tunajisifia kuwa intelligensia iko juu kwa Africa lakini Rwanda walisha wahi kufanya yao hapa,inasemekana kunajamaa wa Kagame alikuwa anajua mpaka shuka alizokuwa analalia baba Ridhmoko sijui hilo saga liliishia wapi
 
Kwani polonium haipatikani uingereza mpaka watoke nayo russia?
Si ndio hapo mkuu, cha kuchekesha zaidi majasusi wa Kirusi wanao husishwa na kashfa ya kumuwekea Litvinenko sumu ya polonium mbona wote wangali ahi? Waingereza si watu wa kuamini sana - hawataki kuwa wakweli hapa, msemaji wa Serikali ya Urusi amesema kuna baadhi ya raia wa Urusi waliwahi kufa vifo vyenye utata huko Uingereza mbona Waingereza hawavikutolea ufafanuzi?

Hawa wanao daiwa kumwekea sumu Litvinenko walikwenda Uingereza kwa mwaliko wa Litvinenko akishirikiana na ofisi ya kijasusi ya Uingereza, lengo lao likiwa ni kujaribu kuwa-recruit majasusi hao ili wasaliti Taifa lao la Urusi, sasa katika mizingira tata kama hayo hatuwezi kujua kwa uhakika nani wa kulahumiwa, haya mambo ya Uingereza kudai Putin anahusika ni propaganda zenye lengo la kumu-demonise Putin ili atengwe na nchi za Ulaya ndio Waingereza walivyo - wanafiki.
 
Mimi naambulia nondo tu mnazoshusha maana haya mambo ya usalama ni sifuri kabisa japo nayapenda sana.
 
Back
Top Bottom