SPY CELL PHONE

Maarko

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,189
602
Wakuu poleni kwa majukumubya kuijenga Nchi yetu changa,naomba kujuzwa aina gani ya Apps nzuri ya kuchunguza kinachoendelea katika simu ya kijana wangu,mahitaji yake ya Chuo siku hizi yameongezeka sana,sasa napata mashaka isijekua na tunza familia ya mtu na hali yenyewe ya Uchumi kwa sasa ni tete
Natafuta hiyo kwa nia njema tu maana kila nikimbana anakataa hana matumizi ya hovyo.
Natanguliza shukrani kwa atakaye nisaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom